SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

I'm A Celebrity

#OOTD – FARAJA NYALANDU 

Jina lake ni Faraja Kotta ila baada ya kuolewa ame badilisha kwenda Faraja Nyalandu, Faraja ame tikisa sana mwaka 2004 baada ya kutwaa taji la Miss Tanzania. Faraja amekua chaguo letu leo na outfit yake tuna sema outfit of the day, na hii hali ya…

I'm A Celebrity

ISSA TREND 

Reality Tv Star Sisters, Kim Kardashian na Khloe Kardashian wame onekana ku jaribu kuanzisha trend ya skin tight zenye lace, well hizi zipo sana bongo hata mwenge kwenye vile vibanda vya urembo una weza kuzipata Khloe alikuwa spotted in full red outfit, Khloe alivaa a…

I'm A Celebrity

MCM RICHARD MOFE DAMIJO 

Richard Mofe Damijo ni muigizaji kutoka Nigeria ambaye aliwahi kuwa Commissioner for Culture and Tourism in Delta State, Richard ana miaka 55 na we have to say his style/fashion game is so on point kuliko hata hawa vijana wa sasa, his style ni kama capsule…

I'm A Celebrity

JUX GONE VINTAGE 

Jux ni trend settler tuseme huwa ana style za peke yake na tuna weza kusema he understands fashion, katika picha zake mpya ameonekana kuvaa a vintage style kwa wale mtakao jiuliza vintage ni nini, jibu ni hili VINTAGE ni style ama nguo ambazo zina zina…