SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

I'm A Celebrity

MCOTD- BARNABA BOY CLASSIC 

Barnaba ni moja kati ya wasanii wa muziki pendwa hapa Tanzania, ana jiita Barnaba boy Classic ina wezekana hilo la classic aliliweka kutokana na sauti yake nzuri katika muziki lakini leo tuna muweka Clasiic kutokana na mitoko yake. Unaweza husi mnotice kutokana na kuto kuwa…

I'm A Celebrity

MCOTD- NISHERX 

Nisher ni producer, director pia ni artist, ni mkaka ambae tume anza kumsikia kipindi kidogo lakini ana maintain ule umaarufu wake taratibu bila papara, kitu kimoja ambacho sisi tume kiona kwetu ni kwamba this brother anajua kuvaa, havai kibongo bongo hata kidogo. Ana ule muonekano…

I'm A Celebrity

2016 round up -METALLIC TREND 

2016 imeleta trend nyingi na moja wapo ikiwemo hii ya metallic, tume waona watu maarufu wengi wakiwa wame valia hii trend iwe casual outfits, red carpet, dinner au street style. The trend ina weza isiishie tu 2016 tunaweza kuvuka nayo hadi 2017 na hii ni…