Reviewing Desire Liquid Matte Lipstick By Huddah Cosmetics
As we keep on na review yetu ya African beauty products, leo naomba tufanye review yetu ya Desire Matte Lipstick by “HUDDAH”. Huddah ni mwanadada kutoka Kenya ambae ana own Beauty Product Line inayokwenda kwa jina la Hudda Cosmetics, Well i had a dream ya…
Mafuta Ya Black Castor Oil Na Faida Zake Katika Urembo
Black Castor oil ni mafuta ya mnyonyo tofauti ya mafuta ya mnyonyo,tofauti ya mafuta haya na mengine ya mnyonyo ni kwamba Black Castor Oil yanatengenezwa kiasili bila kuondolewa au kuongezwa vitu katika uhalisia wake, wakati mafuta ya mnyonyo mengine hupitia viwandani kutengenezwa na kuongezwa vitu…
We Tested Lavie Jet Black Eyeliner & Here Is Our Review
Kwanza kabisa ninafurahi kuendelea kutumia brand za kiafrika sanasana Tanzania. Kwa Leo naomba nitoe maelezo madogo tu lakini mazito kuhusu wanja huu. Kwanza kabisa nimekuwa Nikisumbuka Sana na wanja hasa, waterline (wanja wa macho). Kila nilizokuwa nilijaribu haukuwa unakaa vizuri (kwa muda mrefu bila kuchuja)….
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…