SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Lifestyle

CHRISTMAS GIFTS IDEAS FOR HER 

Christmas season ni season ya kutoa na kupokea, tunapo sema zawadi for her, tuna maanisha mtu yoyote mwenye jinsia ya kike awe mama,dada,shangazi, rafiki yako wa kike au hata mpenzio. Kama bado huja mnunulia zawadi na una tamani lakini huna idea ya umnunulie nini au…

Lifestyle

CHRISTMAS GIFT IDEAS FOR HIM 

Christmas imebaki siku chache tu ifike, kwa wengine huwa wana subiri kusheherekea siku hii ma kwao na familia zao, wengine huwa wana zisubiri zile holiday wapumzike kwetu sisi wengine huwa tuna subiri zawadi (yes tunaiitaga Gift Season) kwa wale ambao huwa mna toa zawadi na…

Lifestyle

OPEN CLOSET IDEAS 

Addiction mpya tuliyo nayo kwa sasa ni open door closet, wa Africa wengi nyumba zetu zina yale makabati yenye milango si mbaya hasa pale unapo kuwa huja panga nguo ni namna nzuri ya kuficha aibu yako, lakini open closet ni nzuri kwanza ina chukua nafaso…

I'm A Celebrity

BEYONCE 35 IS NEW 21 

Ikiwa ni siku ya 3 tu tokea atimize miaka 35 Beyonce ame onekana akiwa ana enda katika concert ya Kanye West make up free na ame vaa leather skirt na printed t-shirt, Ni kama mtoto wa miaka 21   Kama utakua mfuatiliaji wa muziki wake…

Lifestyle

INSTAGRAM FASHIONISTA @MISS_DIADEM 

Instagram kuna ma-fashionista wengi mno, kina dada na wakaka wengi wana pendeza katika page zao za Instagram lakini leo huyu dada katuvutia zaidi jina lake analo tumia instagram ni @miss_diadem una weza kumtafuta pia, na hizi ndizo zilizo tuvutia zaidi kutoka kwake black outfits corporate…

Lifestyle

JAMAICAN WEDDING THEME 

David & Bernahdette wame amua kufanya harusi yao iwe na theme ya ki Jamaica, kuanzia mavazi ya bride maids, eneo la sherehe mpaka cake. Tunaweza kusema ni most unique wedding themes tulizo wahi kuziona  hii ndo wedding cake ikiwa na rangi ya kijani,nyekundu na njano…