Ramadhani Beauty Looks From Tanzania’n Celebrities
Mwezi Mtukufu wa Ramadhani umeanza, na kwa sasa watu maarufu mbalimbali wamebadilisha mionekano yao. Ikiwa wengi wanavalia mavazi marefu leo tumejaribu kuangalia looks zao za makeup. Tumewaona Zuchu, Queen Darleen, Hamisa Mobetto na Meena Ally wakiwa na makeup nzuri zilizo tulia tumewaletea hapa in case…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Ramadhani Beauty Looks From Wema Sepetu, Linah Sanga, Lulu Diva Na Wengineo
Mwezi mtukfu wa Ramadhani umeanza, na kama ilivyo kawaida ya mwezi huu watu wengi hutumia muda wao kufanya yale yanayo mridhisha M/Mung kama kufnga, kujistiri na kufanya yale yaliyo mema. Ukifikaga mwezi huu huwa tunasubiri kuona transition ya watu maarufu kutonyesha namna wanavyoweza kutoka katika…
Aina Za Makeup Na Wakati Sahihi Wa kuzipaka
Makeup is a blessing, like literaly. Ni namna ya kuimprove muonekano na wakati mwingine kucompliment vazi. Makeup hu-boost confidence kwa kuongeza uzuri asili au kwa kuficha matatizo madogo madogo katika uso na wakati mwingine mwili. Just a reminder you are beautiful na mwenye thamani ukiwa…
Beauty Looks Of The Week From Elizabeth Michael, Wema Sepetu And Others
Japokuwa wanasema tabasamu inanguvu kuliko make up, lakini tunajua makeup nayo ina ujazo wake katika muonekano kwa wote mwanamke na mwanaume. Week hii tumeona watu maarufu mbalimbali wakiwa face beaten well lets say nani na nani ambao wametuvutia na looks zao. Wema Sepetu was dolled…
The Best Beauty Looks Of The Week From Hamisa Mobetto, Elizabeth Michael And Others
“Makeup magnifies the beauty that already exist “, kupaka makeup hakumaanishi kunakubadilisha kile ambacho unacho bali kinaongezea kukifanya kile ambacho unacho kuwa bora zaidi. Kama ambavyo tunajua watu maarufu huchukua muda wao kutuonyesha mitoko yao na makeup looks zao kupitia katika mitandao ya kijamii, week…
Makeup Artist Wa Tanzania Kuna Uhitaji Wa Kuwatendea Haki Wanaume Pia
Kama hujawahi kusikia au umewahi kusikia lakini huamini basi “Yes Wanaume Hupaka Makeup Pia” japo makeup zao huwa sio obvious kama kwa wanawake, lakini wao pia wanapakwagwa kuficha vitu kadhaa wa kadhaa. Na hii sio tu Tanzania bali hata Nchi za nje na sio tu…
Judging Wema Sepetu, Jokate Mwegelo & Gigy Money Makeup Looks
Katika ulimwengu wa mitindo uwezi kuwa umekamilika bila ya kitu cha ziada, kinaweza kuwa accessories, nywele au hata makeup. Na kwasasa tasnia inayofanya vizuri kwenye ulimwengu wa mitindo ni urembo, makeup, nywele, kucha vinapewa kipaumbele na wanawake wanapenda kuvipendezesha ilikukamilisha mionekano yao. Leo tutaongelea kuhusu…
Makeup Artist 3 Wa Kutumiwa Na Bongo Movies
Wakati tukifanya process za kuimarisha movies zetu zionekane bora katika msingi wa picture kuwa nzuri na story kueleweka tunadhani ni wakati sahihi pia wa kushirikisha watu sahihi katika ku-style mavazi na makeup. Kama mpenzi wa movies utajua kwa sasa huko kwa wenzetu wanatilia mkazo sana…
Upgrade Your Face Beat Game Inspired By These Beauty Looks
The weekend has landed, na kama kuna vitu ambavyo vinahuwa vinatia stress ni mavazi na makeup gani upake kama una mtoko weekend. Well we say no more, leo tunakuletea baadhi ya makeup ambazo tumeziona kutoka kwa watu maarufu mbalimbali ambazo tumekutana nazo na zinaweza kuku-inspire…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…