SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Make Up, Urembo

10 Tips For Graduation Makeup 

Huu ni ule wakati wa kushehereka kumaliza shule, iwe ni secondary au chuo, wakati unafikiria ni mavazi gani uvae, viatu, pochi na wapi utaenda kusheherekea usisahau kufikiri kuhusu makeup yako, japo makeup ya graduation huwaga simple ila kuna tips ambazo unaweza kufanya ili iweze kumudu…

Make Up, Urembo

5 Beauty Looks From Instagram You Would Love 

Fashion goes hand in hand with beauty iwe natural au na makeup unapokuwa umevaa umependeza lazima utafikiria na nini ufanye usoni na nywele ili kukamilisha muonekano wako, week hii tunakuletea 5 beauty looks tulizo ziona kutoka katika mtandao wa Instagram na tukafikiri unaweza kuipenda mionekano hii…

Make Up, Urembo

Jua Zaidi Kuhusu Eyebrow Microblading 

Tumekuwa tukipata maswali mengi kwenye mitandao ya kijamii kuhusu eyebrow microblading, wengine wakiwa wanauliza ni nini, wengine wanauliza hapa Tanzania ni nani ana fanya na wengine wakituambia nini maoni yetu kuhusu hii trend, Well tumejaribu kutafuta eyebrow microblading ni nini na inakuwaje Spice Up Your…

Make Up

Aina 3 Za Makeup Artist 

Ulimwengu wa urembo unazidi kukua karibu kila mwanamke kwa sasa anajua kujipaka makeup, na wengine wasiojua basi wanapakwa na wale wanaojua, kufanya mambo kuwa rahisi basi wale make up artist wanaojua huwa wanafundisha kupaka hizi makeup’s kwa darasa inaweza kuwa kwa mwezi au week inategemea…