SUBSCRIBE NOW

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Make Up

Aina 3 Za Makeup Artist 

Ulimwengu wa urembo unazidi kukua karibu kila mwanamke kwa sasa anajua kujipaka makeup, na wengine wasiojua basi wanapakwa na wale wanaojua, kufanya mambo kuwa rahisi basi wale make up artist wanaojua huwa wanafundisha kupaka hizi makeup’s kwa darasa inaweza kuwa kwa mwezi au week inategemea…

Make Up, Urembo

Makeup Looks Tulizozipenda Week Hii 

Tunapenda jinsi makeup artist wetu wanavyo jitahidi katika swala zima la kuwafanya wasanii na watu maarufu wetu wapendeze, yes kama kuna kitu ambacho ukiharibu unaweza kuharibu muonekano wako mzima basi ni makeup. Makeup ikiwa mbaya inaweza kuharibu na muonekano mzima wa mtoko wako hata kama…

Make Up, Urembo

Zijue Faida 4 Za Makeup 

Inawezekana ukawa una paka makeup kwa urembo, inawezekana wewe ni mpakaji makeup (make up artist) ambae ulivutiwa tu kwa kuona wengine wanafanya lakini ukiulizwa nini maana ya makeup na ina faida gani huwezi kujibu well tupo wengi, sana sana jibu letu litakuwa kumfanya mtu azidi…