SUBSCRIBE NOW

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Make Up, Urembo

Beauty Crush – Herieth Paul 

Mwanamitindo kutoka Tanzania ambae ana fanya vizuri Nchi za Nje, Herieth Paul (20) ni beauty crush wetu wa leo. Herieth she keeps her natural beauty kuanzia rangi ya ngozi mpaka nywele we can say she is a complete beautiful melanin. Ukiachana na kuwa natural Herieth…

Make Up, Urembo

One On One With Makeup Artist Queen Nuru 

Kama tutatakiwa kutaja makeup artist bora Tanzania basi Nuru nae atakuepo kwenye list yetu, ukiachana na kazi yake nzuri lakini pia she is so humble na ana customer care nzuri, tumemjua Nuru kupitia Instagram ambapo anajiita Queennuru_makeup akiwa bado hajafikisha 55k followers ambao anao sasa….

Make Up, Urembo

BeautyCrush – The Queen Malaika 

Malaika ni msanii wa muziki wa kizazi kipya ambae kwetu sisi tunamuona ndio ana jitaidi sana katika mavazi na urembo katika wasanii hawa wa sasa wa kike wanao imba yeye pamoja na Vanessa Mdee na Nandy. Malaika leo amekuwa beauty crush wetu kutokana na makeup…

Make Up, Urembo

Beauty Looks We Love This Week 

Mwezi mtukufu umeisha tumerudi katikahali yetu ya kawaida, i maumaii yetu mme ejoy Eid. Week iliyo pita ilikuwa na weekend ndefu na kunapo kuwa na weekend ndefu ni furaha yetu maana tunapata muda wa kutembelea watu maarufu mbalimbali kuangalia wana kipya kipi na week hii…