SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Make Up, Urembo

BEAUTY CRUSH – JULITHA KABETE 

Julitha Kabete (21) Alishiriki shindano la Miss Dar Miss Dar City Centre na kutwaa taji. Licha ya kutwaa taji hilo, Julitha alifanikiwa pia kunyakua taji la balozi wa televisheni ya jijini Dar es Salaam iitwayo TV1 na baadae kushiriki fainali za Miss Ilala na kutwaa…

Make Up, Urembo

RIBBON EYE LINER YAR OR NAY? 

Wakati hata hatuja master kupata a perfect winged eye liner ikaja bubbled winged eye liner wakati bado tuna yumba yumba na hio ghafla ime kuja ribbon winged eye liner. Our beautiful Ladies kutaneni na trendi eye liner kwa sasa una weza kuiita ribbon eye liner,…

Make Up, Urembo

BEAUTY CRUSH – IRENE 

Ana kwenda kwa Jina La Irene Lynn japo wengi wetu tuna mjua kama officiallyn ni model, mara ya kwanza kumuona ilikuwa katika video ya Raymond kutoka WCB “kwetu”. leo yupo kama beauty crush wetu kutokana ku link na kila style ya nywele au make up,…

Make Up, Urembo

BEAUTY CRUSH – DILLISH MATHEWS 

Dillish Mathews ni Muigizaji pia mwanamitindo kutoka Namibia, ambae alipata kujulikana mno mnamo mwaka 2013 ambapo alishiriki na kushinda shindano la Big Brother Africa – The Chase, Dillish alishinda kitita cha $300,000 kama M 660,000 za ki Tanzania ambapo ali Invest katika biashara mbali mbali…