SUBSCRIBE NOW

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Make Up, Urembo

BEAUTY CRUSH – DILLISH MATHEWS 

Dillish Mathews ni Muigizaji pia mwanamitindo kutoka Namibia, ambae alipata kujulikana mno mnamo mwaka 2013 ambapo alishiriki na kushinda shindano la Big Brother Africa – The Chase, Dillish alishinda kitita cha $300,000 kama M 660,000 za ki Tanzania ambapo ali Invest katika biashara mbali mbali…

Make Up, Urembo

ZIJUE MASCARA NA NAMNA YA KUPAKA 

Unapochagua mascara kuna mambo muhimu ya kuzingatia kulingana na lengo lako unalotaka kutimiza. Unatakiwa kujua unataka kope zionekane ndefu( lengthenning), zionekane zimejaa/nene (thickenning), zisishikane na je ukinawa na maji mascara itoke au laa (water proof). Wengi tunanunua tu mascara kwa wamachinga nk bila kujua itafanya…

Make Up, Urembo

BEAUTY CRUSH – ROSA REE 

Ni rapper wa kike kutoka the industry ambapo ndani yake kuna Aika Navy Kenzo na Nahreel, Leo Rosa Ree kawa beuty crush wetu ni kutokana na jinsi anavyo jiweka tofauti na ma rapper wengi wa kike Tanzania, Rosa Ree ana paka make up, ana vaa…

Make Up, Urembo

TAYLOR SWIFT MAKEUP TRANSFORMATION 

Huyu dada ni make up artist ambae ni vloger  yaani hutumia Youtube channel yake kuonyesha uwezo wake wa kucheza na make up.  katika zote hii ya taylor swift ime tuvutia jinsi alivyo jibadilisha kutoka kuwa yeye hadi kuwa mwanamuziki Taylor Swift hapa akijaribu kuchonga sura…