SUBSCRIBE NOW

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Make Up, Urembo

MAKE UP LOOKS TULIZO ZIPENDA 

Make up ni kitu ambacho wasichana wengi na wamama wana pendelea sasa hivi, kama sio kupaka basi hufanya kwa biashara na kwa sasa ipo kwenye soko mno. WIki hii tumeona watu maarufu kama Happiness Magesse, Nisha Jabu na wengineo wakitupia picha zao wakiwa wame pakwa…

Make Up, Urembo

BUBBLE EYELINER 

Inapo tokea mtindo basi wengi hutumia mtindo huo huo mmoja lakini kuna wengine hupenda kuwa watofauti kidogo, ilianza eye liner ya kawaida, ikaja winded eyeliner na sasa ime kuja bubble eye liner, hii kidogo ina hitaji ujuzi na mazoezi ya kutosha kui master katika video…

Make Up, Urembo

MAKE UP SAHIHI NI PAMOJA NA VIFAA SAHIHI 

Tunapenda kupaka make ups na urembo mwingi lakini wakati mwingine hazitokei sahihi na matarajio yetu. Kwa sehemu kubwa picha zinazosambazwa mitaani kupitia mitandao ya kijamii ni za dada zetu,rafiki zetu na hata mama zetu ambao hawajui kitu ila tu wanaamini wakipaka tu Angel face/Powder au…

Hair, Make Up

CRUSHING RUBBY MAKE UP NA NYWELE 

Ruby au Ruby na yule kama ambavyo ana julikana na wengi ni msanii wa muziki kutoka Tanzania, kilicho tufanya tumuweke leo hapa ni hizi picha zake mpya alizo share na mashabiki wake katika ukurasa wake wa Instagram. Ruby ameonekana katika muonekano mpya wa nywele ambapo…

Make Up, Urembo

MATUMIZI YA WANJA 

Historia inatuambia kuwa, kwa mara ya kwanza Wanja ulianza kutumika nchini Misri na Mesopotamia zamani ikifahamika kama Ugiriki ambapo watu wake walikua wakipakaa wanja sio tu kwa kujiremba bali pia kujikinga na jua la jangwani. lakini pia wanazuoni wanasema Wanja  ulikua ukipakwa kama kinga ya kuepukana na mabalaa (uchawi)….