SUBSCRIBE NOW

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Mazoezi, Street Style

INSTAGRAM CRUSH @SAYMARIAH 

Instagram ana tumia jina la @saymariah Jina lake ni Mariah ni fashionista wa Instagram pia ana duka lake liitwalo @saymariah_africanfashion ambalo lina deal na mavazi ya ki Africa. Kilicho tuvutia kutoka kwake ni uwezo wake wa kupangilia nguo mid skirt swagg boyfriend distressed jeans, red…

Mazoezi

TIPS ZA MAZOEZI WEEKEND 

Weekend ime fika una muda mwingi wa kufanya mengi ambayo ulikuwa ukitaka kufanya lakini ukashindwa kutokana na ratiba ime bana katika siku za kazi au shule, tumia wakati huu kuziba yale mapengo ambayo uliyaacha katika siku zako za kawaida, Nenda Mbali – inawezekana siku za…

Dondoo, Mazoezi

MAZOEZI KWA SHEPU NZURI (SQUARTS) 

Hakuna mtu asiye penda shepu nzuri hasa kwa wasichana na wamama wa mjini lakini wengi wao hawana muda wa kwenda Gym kufanya mazoezi eidha kwa sababu ya kukosa muda (kazini, familia) au kwa uvivu wa hapa na pale, Squarts ni mazoezi yanayo saidia kukaza mwili,aina…

Mazoezi, Urembo

MAZOEZI YA YOGA YA USO 

Ukosefu wa mazoezi ya viungo vya mwili husababisha kusinyaa kwa sura na kupatawa na  matatizo mara kwa mara Yoga inaboresha sura na kuipa akili yako hali utulivu. Yoga – ni uhusiano wa kimwili na kiroho kwa hatua ambayo hutatua  matatizo mara moja tu, wengi hudhani…

Dondoo, Mazoezi

UMUHIMU WA PUSHUP KWA WANAWAKE 

Pushup ni moja kati ya zoezi zuri Zaidi kwa Wanawake. Kwanini? Pushups za mara kwa mara haizitaimarisha kifua chako tu, lakini pia kutengeneza umbo zuri la Mabega, Misuli ya Mikono (Triceps), Misuli ya Makalio(Glutes) na kufanya misuli hiyo kuimarika na kukaza. Kuna aina nyingi za…

Mazoezi

Saumu na Mazoezi 

Tunashauriwa kufanya mazoezi ya mara kwa mara, na faida za mazoezi zipo nyingi ki afya, katika toleo hili la leo ambalo ni maalum kwa Ramadhani, sitakwenda kugusia faida za mazoezi, ntazungumzia katika toleo lijalo mbalo litatoka baada ya mfungo, Leo nataka tuangalie kama ni vema…