SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

Mishono Ya Kitenge Kutoka Kwa Fashionista Mbalimbali 

Kiukweli sisi tunapenda tunapoona Fashionista wakitumia vitenge katika mavazi yao, Yes si kwamba tu wanatupa mishono bali pia wanatangaza vya kwetu. Tumewaona fashionista hawa watatu kutoka Tanzania, South Africa na Nigeria wakiwa wamevalia mavazi ya kitenge na tukaona tukuletee hapa labda unaweza kuona mshono utakaoupenda…

Mitindo

How To Have Fun With Kitenge Outfits This Weekend 

Ni Furahi day nyingine tena, tunaanza mapumziko ya weekend na sote tunajua inapofika weekend tunachotaka ni kupumzika na familia na marafiki lakini pia kutoka nao kwenda nao sehemu mbalimbali ku-clear mind na ku-have fun. Weekend hii tumeona kwanini tusiwaletee namna ambavyo unaweza kuongezea kitenge katika…

Afro Fashion

The Color-Block Ankara Skirt By Sgtc Clothing 

 Sgtc Clothing ni brand iliyopo Nigeria na inamilikiwa na mwanadada  Adetoke Oluwo, ni brand ambayo inafanafanya vizuri hasa katika kuwa tofauti na brand nyingine katika mitindo,leo tuna crush na hii Color Block Ankara Skirt kutoka kwao, na watu maarufu wengi pia wameonekana kuvutiwa nayo Tumependa jinsi…

Mitindo

Mishono Simple Ya Kitenge 

Kuna wakati unapenda kuvaa vazi lenye touch ya kitenge ndani yake, labda hupendi kitenge kichukue nafasi kubwa sana katika vazi lako au labda una sare ya harusi na unapenda uwe unique kidogo sio wote mvae kitenge cha aina moja na iwe full kitenge, hii mishono…

Afro Fashion

Mishono Ya Kitenge Kwa Ajili Ya Kazini 

Japo kuna ambao wapo likizoni kuna wenzangu na sie ambao bado tupo makazini, wakati mwingine inakuwia vigumu kujua nini uvae jumatatu na unahitaji kuanza week yako vizuri ki-mavazi kufanya week yako nzima kwenda vizuri. Leo tunakuletea outfit ideas za kazini za kitenge tukiwa tumezitoa kutoka kwa…