Mishono Ya Vitenge Inspired By Chinyere Adogu
Ukiongelea uzalendo unaongelea kila kitu kuanzia Lugha, mavazi hadi jinsi ambavyo unajibeba kama mu-Africa, na unawezaje kuwa mu-Africa mkamilifu kama huvai mavazi yenu? well kitenge kimekuwa kikifanya vizuri Duniani sisi kama wa Africa tupo proud, leo tunawaletea mishono bomba ya kitenge kwa wadada wa rika…
Mishono Ya Kitenge Kutoka Kwa Fashionista’s
Fashionista’s kama wamerudisha mapenzi yao kwenye kitenge karibia kila page ya fashionista tunayo itembelea tunakutana na picha wamevaa vitenge & tunapenda tunacho kiona, sababu kubwa ikiwa ni kutangaza vya kwetu pia lakini pia kupata kujua mitindo mipya na jinsi ya kustyle vitenge vyetu, leo tunakuletea…
MIX AND MATCH KITENGE STYLES
Kinacho trend sasa hivi katika mitindo hasa upande wa mishono ya vitenge ni kumix aina tofauti za vitenge katika outfit moja, ambacho unatakiwa kuwa makini nacho ni uwiaono wa rangi katika kitenge chako, hii ni baadhi ya mishono ambayo tumeiona Puffy Hands Mix it &…
Ankara Slay By Fashion Blogger Simply Palesa
Palesa Mahlaba ni fashion blogger kutoka South Africa, Palesa ni moja kati ya fashionista ambao wapo tofauti yaani huwezi kufananisha style zake na mtu mwingine she always stand out uniquely na leo ametufurahisha na jinsi alivyo style hili gauni la kitenge Ni gauni simple tu…
Kitenge Touch’s Kwa Wasichana
Kwa wasichana wa umri fulani kuvaa full kitenge ni uzee au wanaona ni ushamba lakini si kweli ni jinsi tu ya kuchagua mshono na ukavaa kitenge vile unavyo taka hii ni baadhi ya mishono tuliyo iona na tukaona ina wafaa wasichana Wide Leg Romper Kitenge…
StyleTalk: Mbunifu Bijoux Trend Na Mixing Batiki
Wazungu wanasema fashion ni kitu unacho nunua lakini style ni vile ambavyo unaamua kuvaa hiko kitu, well leo tumependa jinsi mbunifu Bijoux Trend kutoka hapa hapa Tanzania anavyo style au anavyo mix batiki zake, Bijoux ana tengeneza mwenyewe hizi batiki akimaliza ana buni nguo na…
Mbunifu Fola-Toks Abiodun Na Vazi Hili La Birthday Ya Mwanae Yay or Nay?
Mbunifu ambaye yuko based London lakini ni Mm-Nigeria Fola-Toks Abiodun, ambae ana sifika na style zake za asoebi na ana fanya kazi na watu maatufu mbali mbali kutoka Nigeria akiwepo Muigizaji mkubwa Mercy Aigbe, Fola-toks ameingia kwenye headlines baada ya kubuni vazi hili kwa ajili…
Look Book – Kiki Fashion New Collection Ni Moto
Imekuwa kipindi kirefu kidogo kuona wabunifu wametoa collections zao za nguo (au labda hatukutilia maanani), Kiki Kizimba ametoa collection yake mpya na its just too perfect not to share. Kiki ame mshirikisha model Macrida Joseph ku-model katika collection yake hii lakini pia ku style mavazi…..
MASAI SHUKA PONCHOS KUTOKA @AFROPOSHDESIGNS HITAJI LAKO MSIMU HUU WA BARIDI
kila unpo tembea msimu huu ni makoti, ma sweta wenye kujifunika khanga na vitenge pia wapo basi ili mradi kila mtu ana jikinga na baridi awezavyo na kuonekana stylish katika njia yake ya kipekee, katika kutembea tembea kwetu kwenye mitandao ya kijamii tukakutana na hizi…
NAMNA YA KUVAA KITENGE TOP KATIKA NAMNA TOFAUTI -@IAMNINI1
Fashion blogger Nini ambae blog yake inaitwa stylewithnini ame tuonyesha namna unavyo weza kuvaa top ya kitenge moja mara nyingi uwezavyo, kwa kutumia style mbali mbali hapa akiwa amevaa top hio na skin jeans, pumps akamalizia na embellished clutch Hapa akiwa amevaa top hio na…
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda se… https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…