Wema Tema Big G, Irene Paul Atisha
Kama ilivyo kawaida week hii katika segment ya fundi tupo na waigizaji Wema Sepetu pamoja na Irene Paul, Week iliyopita kulikuwa na event mbalimbali ambapo watu maarufu wengi walihudhuria event hizo, kati ya event zilizokuwepo moja wapo ni The Orange Concert ambayo hii walitoa Tuzo…
Dressing The Baby Bump For Night Out Outfit Ideas From Vera Sidika
Hakuna kitu kinasumbua kichwa kama kuchagua vazi la kuvaa hasa katika mitoko ya usiku, sasa imagine unamtoko wa usiku halafu umjamzito hapo ndipo kichwa kitakapo waka moto na kuamua usiende kabisa kwenye huo mtoko. Leo tumewakumbuka mama vijacho tunawaleta mavazi ambayo unaweza kuvaa ukiwa unatoka…
Maoni Ya Fahvanny Juu Ya Vazi La Tems Kukosolewa
Usiku wa kuamkia Jumatatu kulikuwa na Tuzo kubwa za Oscar, Tuzo ambazo zilihudhuriwa na watu maarufu mbalimbali walioalikwa, mwanamuziki kutoka Nigeria, Tems nae alihudhuria hafla hii akiwa amevalia vazi lake zuri lakini lilipata feedback mbaya kutokana na headpiece kuwaziba kuona waliokuwa nyuma yake. Well tumepokea…
Blac Chyna Kuondoa Breast & Butt Implants
Mwanamitindo na mjasiriamali Blac Chyna ameingia katika vichwa vya habari baada ya kutangaza kuondoa implants zake za butt na maziwa, Blac Chyna ni moja kati ya watu maarufu wengi waliobadilisha miili yao miaka kadhaa nyuma lakini pia ni moja kati ya watu maarufu wengi ambao…
Cartoonish Shoes Are The New It
Kama mwaka jana tulisema tumechoka na viatu vya midoll basi tujue mwaka huu tunavyo ila hapa ni kwa design nyingine, seems like foot wear companies wameamua kutengeneza viatu vinavyo kuwa inspired na cartoons. Mwezi wa pili mwanzoni tuliona watu maarufu mbalimbali wakiwa wamevalia boots nyekundu,…
Je Hili Ni Jibu La Zuchu Kwa Miss Tanzania Organization?
Week chache zilizopita mwanamuziki Zuchu alipewa onyo na kampuni ya The Look ambayo inasimamia mashindano ya Miss Tanzania, Onyo hili lilitokana na mwanamuziki huyu kutumia Sash yenye maandishi ya Miss Tanzania, ambapo kampuni hio ilisema kuvaa Sash yenye maandishi hayo ni “kuiba na kupotosha utambulisho…
Tems Akosolewa Na Vazi Lake Hili Katika Tuzo Za Oscars 2023
Mwanamuziki Tems kutoka Nigeria aliwakilisha Nchi yake pamoja na Africa kwaujumla katika Tuzo za Oscars 2023, Tems alikuwa nominated katika tuzo hizo kupitia wimbo alioufanya na mwanamuziki Rihanna “lift me up” ambao ulitumika katika movie ya Black Panther. Tems alihudhuria Tuzo hizo akiwa amevalia white…
Red Carpet Looks From The Oscars 2023
Tuzo za βThe Oscarsβ ni Tuzo hutolewa kwa artistic na technical merit waliopo katika tasnia ya filamu, Watu maarufu mbalimbali ambao wapo kwenye Tasnia hii hualikwa na kuhudhuria hafla hii ya ugawaji Tuzo, well kwa mwaka huu imefanyika usiku wa kuamkia leo na tupo hapa…
Date Outfit Ideas From Juma Jux And Karen Bujulu
The weekend is here inawezekana una plans za kutoka na mwenza wako, lakini hujui uvae nini unapoenda, well kuna date’s za aina tofauti tofauti kuna za casual, business na zile romantic zote hizi zina mitoko yake kutokana na sehemu mnayoenda. Leo tunawaangalia couple mpya kabisa…
Miss Tanzania Halima Kopwe Na Maandalizi Ya Kwenda Miss World
Mei 20, 2022, mrembo Halima Kopwe alivikwa taji la kuwa Miss Tanzania, Halima amekuwa moja kati ya ma-miss wanao fanya vizuri kwakuwa tunamuona akishiriki events mbalimbali Nchini ziwe za kusaidia Nchi au majukwaa ya urembo, akiwa anajiandaa kwenda Miss World tumefanikiwa kufanya nae mahojiano kutuelezea…
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda se⦠https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…