SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Habari

HATA WAO WAPO NYUMA 

Imezoeleka kuwa mitindo mingi inaanzia Nchi za Magharibi na baadae kufika katika nchi za Afrika lakini safarihii imekuwa tofautibaada ya Jarida la Elle, lenye makazi yake nchini Canada Kutweet kwamba DAKISHI ni bidhaa mpya  inayo kiki katika sayari ya  mitindo, kwa sababu watu maarufu kama Beyonce, Rihanna,…

Habari

MAMA NA MWANA WAJA NA YAO KATIKA MITINDO 

Ulimwengu wa Instagram umeleta mambo mengi, kuna ambao wana fanya biashara, wanao nadi vyakula na pia wanao onyesha ujuzi wao katika mavazi na mitindo hawa ni wengi zaidi. Wenye kuonyesha umashuhuri wao katika mitindo huwa wanaonyesha wana vaa nini kila siku (#OOTD) Out Fit Of…

Mitindo

WAPENZI WANO TISHA ZAIDI KATIKA MITINDO 

1) juma Jux Na Vanessa Mdee Hawa ndo wapenzi walio tisha zaidi katika sekta ya mitindo mwaka huu, Juma Na Vanessa wote ni wanamuziki na mahusiano yao yamedumu kwa muda sasa. Juma na Vanessa wanajua kujipangilia katika mavazi kama wapo pamoja au kila mmoja peke…

Mitindo

WALIO PENDEZA JUMA HILI 

Meninnah Mwanamuziki na zao la BSS 2012 juma hili ame tokelezea kihindi kapendezeshwa na – @ndibs Elizabeth Michael au Lulu Muigizaji Filamu amependeza na gauni yake ya rangi ya chungwa mpauko akielekea kwenye sherehe ya harusi ya Flaviana Matata. ame pendezeshwa na –laviemakeup Kajala Masanja…

Mitindo

NGUVA MWEUSI 

Nguva ni kiumbe kikongwe duniani  ambacho habari zake zimeanza kusikika toka kwa mababu na mababu, ni kiumbe kiichisho baharini ambacho ni nusu samaki nusu binadamu. Yaani mkia wa samaki lakini kiwili wili cha binadamu, wengi husema nguva ni mrembo na anae jipenda. wengine husema ni…

Mitindo

ENJIPAI (FURAHA) 

ENJIPAI ni neno la kimaasai ambalo kwa Kiswahili lina maanisha FURAHA, ENJIPAI ni bidhaa ambayo ime undwa na Nasreen Karim Miss Tanzania 2008.   Kikundi cha ENJIPAI imeunganishwa na wamama wa kimaasai ambao wana unganisha utamaduni wao na mitindo ya kisasa. Kitu kizuri kuhusu Enjipai…

Mitindo

VANNESA MDEE KATIKA GAZETI LA STYLE MANIA 

Mwezi huu katika  la gazeti la STYLE MANIA, mwanadada VANESSA MDEE au VEE MONEY kama mwenyewe ambavyo ana penda kujiita ata onekana katika  la STYLE MANIA MAGAZINE kutoka nigeria. jarada la gazeti hilo lime pambwa na mwanadada Vimbai Mutinhiri kutoka zimbabwe ambae ni mshiriki wa…

Mitindo

HUWEZI KUAMINI KUWA WANA WATOTO (5 BORA) 

1)Jacqueline Ntuyabaliwe alisha wahi kuwa miss Tanzania kabla ya kuingia katika muziki, lakini kwa sasa ana fanya biashara zake binafsi nchini na Afrika Kusini. Jacquline ni mmoja kati ya wasichana kwasasa ni mama wanao penda mitindo na hajawahi kubadilika toka mwanzo akiwa msichana na mpaka…

Mitindo

THERESA SHAYO MISS TANZANIA WA KWANZA (1967) 

Mwaka 1960 ndipo Mashindano ya urembo nchini yalipoanza na mwaka 1967 ndipo tulipata mrembo wetu wa kwanza bi. Theresa Shayo mashindano haya yalifanyika kat Kilimanjaro hoteli ambayo kwa sasa ina julikana kama Hyatt Regency jijini Dar Es Salaam.   Bi Theresa Shayo Akipita Jukwaani Lakini…