JINSI YA KUVAA BWANGA JEUPE
Unaweza ukawa nalo tu kwenye kabati ukiwa hujui ulivalie na nini au ulivae vipi, bwanga linaweza kuvaliwa kwa namna mbali mbali na sasa hizi ndio zinaanza kurudi kwenye trend, Valentine ina karibia kama hutaki kuvaa ki valentine valentine basi vaa bwanga lako jeupe ki namna…
SARE SARE AMBER ROSE NA BLACK CHYNA
Amber Rose 32 na rafiki yake kipenzi Blachyna wameonekana huko Trinidad katika sherehe ziitwazo Trinidad Carnival wakiwa wamevalia mavazi yanayo fanana,
ONDOA TUMBO KWA KUNYWA MAJI HAYA
Chukua jagi kubwa na weka vifuatavyo: 1. Maji na slice za: 2. Matango yaliyokatwakatwa 3. Malimao au Ndimu 4. Mdalasini 5. Tangawizi au Manjano ukiweza kupata 6. Majani ya mint (ukipata) Weka mchanganyiko kwenye friji na tumia kama maji ya kawaida. Ukipenda maji yakiisha weka…
#WCW TUNAJIFUNZA NINI KUTOKA KWAO.
Ikiwa leo ni jumatano nyingine ambayo kama utapitia mitandaoni utakuta zime postiwa picha nyingi za wana wake na chini zime andikwa #WCW, WCW maana yake ni Woman Crush Wednesday ambapo wengi huwaweka wale wanawake wawapendao eidha ni familia, rafiki, au watu maarufu wanawake lakini je…
VAZI LA OMOTOLA KATIKA BIRTHDAY YAKE
Omotola ni mwanamama kutoka Nigeria ambae wengi wanamjua kwa kazi yake ya uigizaji lakini kabla ya kujikita katika Tasnia hio Omotola aliwahi kuwa model (mwanamitindo). Juzi tarehe 7 mwanamama Omotola alifikisha miaka 38 na hili ndilo lilikua vazi lake, gauni ya kiheshima simple ila amependeza…
DAKISHI SWAGG AGNESS MASOGANGE VS AUNTY EZEKIEL.
Leo muigiza Aunty Ezekiel pamoja na Video vixen Agness Masogange wameonekana kupenda vazi moja la dakishi, ambacho ni kigauni wote wamevalia sandlas na kusukia weaving ndefu japo rangi ya kigauni iko ni tofauti. Agness Masogange Aunty Ezekiel
ZILIZO TUVUTIA WEEKEND HII
Hizi ndizo zilizo tuvutia kutoka kwa watu maarufu mbalimbali kutoka nchi waliopo nchini au nje ya nchi. Barnaba Elizabeth Michael Faiza Ally Feza Kessy & Chegge Linah Sanga Rio Shilole Tammy The Baddest Vanessa Mdee Macrida Joseph Hapiness Magesse
SITTI MTEMVU VS ELIZABETH MICHAEL
Sitti Mtemvu aliyekuwa miss Tanzania 2014 kwa muda mfupi kisha akajivua taji na Elizabeth Michael muigizaji anae jua jinsi ya kujipangilia katika mavazi, wameonekana kupenda gauni moja la usiku. Sitti amelivaa gauni hili na viatu rangi ya almasi wakati Eliza amevaa na viatu rangi ya…
SINGLE LADIES (TAMTHILIA)
Single Ladies ni tamthilia iliyo anzishwa 30/5/ 2011, inahusu vichekesho (comedy), maisha, mapenzi pia mitindo katika hii tamthilia wahusia wakuu ni wadada watatu ambao n Raquel, Keisha na April hawa ni wadada wana jituma hasa katika kazi zao lakini maisha yao kimapenzi hayako vizuri mara…
MAPINDUZI YA MITINDO NA LINAH SINGA #TBT
Linah Sanga mwanamuziki kutoka Tanzania, katika wasanii ambao wame toka mbali na mitindo basi hatuwezi kumsahau Linah na vivazi vyake lakini kwa sasa huto acha kumtaja Linah kama mwanamuziki ambae ana jitahidi sana katika mitindo na mavazi, basi tuone kule alipo toka mpaka sasa alipo….
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…