NANI KABAMBA JUMA HILI (TANO BORA)
Chanzo Instagram, Aforswagga jumapili ya leo imepita katika akaunti kadhaa za mastaa wetu wa nyumbani (Tanzania). Tumepata baadhi yao ambao kwa upande wetu tumeona wanastahili kuwa katika tano bora yetu ya walio pendeza katika juma hili 1. Hamisa Mobetto @hamisamobetto amevalishwa na @ups_fashion_wear …
UJIO MPYA WA CONVERSE CHUCK TAYLOR ALL STAR
Yapata karne moja (kwa muda wa miaka 98 hazija wahi kubadilishwa),Kampuni ya Nike imeamua kufanyia marekebisho viatu vyake aina ya Converse’s Chuck Taylor All Stars kubuniwa tena kwa mtindo mwingine wa kisasa zaidi. Wengi wanasema ni kufuru kufanya marekibisho katika viatu hivi kwa maana bado mtindo…
MITINDO KATIKA MSIMU HUU WA KIPUPWE
Ni rahisi kupata mavazi pale hali ya hewa inapo kua ya baridi, lakini hii isikufanye upoteze radha yako katika mitindo. Kwasabu ni baridi watu wanajua cha kuvaa ni nguo nzito na viatu vya kufunika bila hata kupangilia, Si mbaya lakini ingekua nzuri zaidi kama Msimu…
WALIO TISHA MTV MAMA RED CARPET NA LIST YA WASHINDI
Wasanii Kutoka Africa Na Pande Nyingine Za Dunia Walijumuika Pamoja Katika Kinyang’anyiro Cha Kuwania Tuzo Za Muziki Za MTV Africa Muziki, Ambazo Zilifanyika Durban International Convection Centre, KwaZulu-Natal, South Africa Siku Ya Juma Mosi Julai 8 2015 Wasanii Wengi Walikuepo Na Wengi Walipendeza Wafuatao Ni…
Kheri ya Sikukuu ya Eid
AfroSwagga inapenda kuwatakia wasomaji wetu wote kheri ya sikukuu ya Eid, Na Mola atujalie sote kusherehekea vema kwa sikukuu hii Tukiendelea kudumisha amani na upendo miongoni mwetu. Eid hawezi kuwa eid bila kuhusiana na mitindo, vaa vizuri wewe na familia yako sherekeheni siku kuu hii…
PATA KUMJUA HAMEED ABDUL MBUNIFU KUTOKA MOROGORO
Afroswagga imefanya mazungumzo na mbunifu Hameed Abdul mbunifu anae chipukia kwa kasi anae fanyia shughuli zake za ubunifu mkoani morogoro, Tumefanya mahojiano nae kuhusu kazi yake ya sasa aliyoitoa kwa ajili ya mwezi Mtukufu wa Ramadhani na Eid. afroswagga- tuelezee kidogo kuhusu wewe na lini umeanza…
MUONGOZO WA MAVAZI KWA WENYE MIILI MIKUBWA
Watu wenye miili mikubwa wana pata shida zaidi katika mavazi hasa katika kipindi hiki cha Ramadhani, mabaibui na madira ndio vazi kubwa kwa watu hawa. Hasa kwa sababu wabunifu wetu nao wamewasahau lakini leo tutawapa tips ambazo zinaweza kuwasaidia katika mavazi na kupata muonekano wa…
MTINDO WA TURBAN NI MKOMBOZI WA WANAO VAA HIJAB
Mitindo ya kujifunga kilemba inayo itwa turban (turban head cover) ni mtindo wa kisasa mitindo ambao una funika kichwa na kuacha shingo wazi, kuna migogoro kwamba haifai kwa sababu haifuniki shingo ikivaliwa ipaswavyo basi inafaa na kukupa muonekano wa kupendeza Mitindo inakua mambo yanabadilika…
MITINDO YA KIUME KATIKA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI
Tumezoea kuona wanawake pekee wakivaa vizuri na kupendeza katika mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Wanaume wachache sana wanao jua kupangilia mavazi yao wakapendeza katika Ramadhani. Wengi wao wamezoea kuvalia kanzu nyeupe au suruali kwa sababu zinavuka magoti mara nyingine hupendelea kuvaa kanzu kubwa kuzid miili yao,…
MAVAZI 11 UNAYO WEZA KUVAA KATIKA MIALIKO YA IFTAR
Kumi la Kwanza Limeisha Na La Pili Limeingia, katika Kumi La Pili Mara Nyingi Hapa Ndiyo Tunapo Pata Mialiko Ya Iftar Kwa Ndugu Jamaa Na Marafiki. Watu Wengi Wanashindwa Kufika Walipo Alikwa Kwa Sababu Tu Wamekosa Cha Vaa Katika Shughuli Hio. Leo Tunawaleta Mavazi 11…
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda se… https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…