SWITCH KIMOJA UPATE MUONEKANO WA JIONI
Unataka kutoka jioni na huna muda wa kubadilisha muonekano wako mzima ulio uvaa mchana, hizi ni njia chache za ku switch kutoka mavazi yako ya mchana kuwa ya usiku kwa kuongeza au kupunguza urembo mmoja. [URIS id=1447]
JINSI YA KUANZISHA VIPODOZI VYAKO MWENYEWE (mwisho)
B) Jifunze ujuzi wa masoko Jua nini tofauti kati ya bidhaa yako na wengine Kwanini mteja atoke kwenye bidhaa aliyo izoea aje kwenye bidhaa yako (jifunze mapungufu yaw engine) Ni ufungaji gani ambao unaweza kuleta utambulisho mzuri wa bidhaa,kufanya uaminifu na utegemevu kuungana pamoja. Ni…
DIDA VS HUSNA
Dida Shaibu na Husna Maulidy wameonekana wakivaa jumpsuit zinazo fanana kasoro ni kwamba Dida alivaa jumpsuit hio ikiwa na rangi nyekundu akiwa kavalia na viatu vyeusi wakati Husna aliivaa ya buluu na viatu vyekundu Je nani kaivaa vizuri zaidi? Dida Shaibu Husna Maulidy Unaweza…
VICTORIA BECKHAM SHOW
Katika miaka ya tisini alijulikana kama mwanamuziki kutoka katika kundi la Spice Gils, lakini baada ya kundi ilo kusambaratika Victoria Beckham alijiingiza katika ulimwengu wa mitindo na hizi ni baadhi ya nguo alizo buni katika show yake ya hivi karibuni [URIS id=1398]
WALIO PENDEZA MITAANI (NEWYORK FASHION WEEK STREET STYLE)
New York Fashion Week ni tamasha ambalo hufanyika mwezi wa pili na wa tisa kila mwaka, huwa lina waleta wabunifu wote wachanga na wakongwe kuunganika na kuleta mitindo yao mitaani kila mtu aione. Katika wiki hii NewYork huwa ina pambwa na watu walio valia kimitindo…
UTHIBITISHO KWAMBA JUMPSUIT HAICHAGUI UMRI
GIGI HAID umri: 20 Bidhaa:Michael Kors Collection TAYLOR SWIFT Umri: 25 Bidhaa: Balmain RIHANNA Umri: 27 Bidhaa: Pascal Millet JENNA DEWAN TATUM Umri: 34 Bidhaa: Zuhair Murad JENNIFER LOPEZ Umri: 46 Bidhaa: Zuhair Murad ELLE MACPHERSON Umri: 34 Bidhaa: Zuhair Murad ANGELA BASSETT Umri: 57…
JINSI YA KUANZISHA VIPODOZI VYAKO MWENYEWE
Wengi tunapenda kuanzisha bidhaa zetu wenyewe za vipodozi lakini hatujiu tuanzie wapi, mtu anaweza akawa ana penda awe kama Shekha Manjano lakini hajui aanzie wapi na hawezi kumpata akamuuliza hizi ni njia ambazo zina weza kukusaidia kutimiza ndoto yako. Pata uelewa wa jinsi ambavyo vipodozi…
BEIBER KUWA SURPRISE MASHABIKI
Alhamisi mwanamziki Justin Bieber alifanya tamasha la bure huko centrel park kwa ajili ya kipindi kiitwacho the Today Show, hakuna mtu alieona mabadiliko hadi pale Justin alipo toa kofia yake na watu kuona kama ame badilisha rangi ya nywele zake. “nadhani maisha yana kupeleka sehemu…
LV NDANI YA “EMPIRE” SEASON 2
Zikiwa zimesalia takribani wiki mbili tu ile tamthilia pendwa ya Empire season 2 itoke, Trai Byers (andre), Bryshere Gray (hakeem) na Jussie Smollett (jamal), wataonekana katika jarida jipya la GQ mwezi wa kumi. Wavulana hawa wamevalishwa na Mkapuni zenye majina makubwa katika ulimwengu wa mitindo kama Louis…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…