MAVAZI 11 UNAYO WEZA KUVAA KATIKA MIALIKO YA IFTAR
Kumi la Kwanza Limeisha Na La Pili Limeingia, katika Kumi La Pili Mara Nyingi Hapa Ndiyo Tunapo Pata Mialiko Ya Iftar Kwa Ndugu Jamaa Na Marafiki. Watu Wengi Wanashindwa Kufika Walipo Alikwa Kwa Sababu Tu Wamekosa Cha Vaa Katika Shughuli Hio. Leo Tunawaleta Mavazi 11…
KUKUA KWA MITINDO YA KIISLAMU
Kampuni ya Mavazi ya Abaya Addict. Ni moja kati ya kampuni za mitindo ya kiislamu zinazokuwa kwa kasi kubwa. Kampuni hiyo ambayo makazi yake ni Dubai katika Falme za Kiarabu. Ubunifu huu wa Abaya Addict unatarajia kujaza nafsi zote zilizowazi zinazoachwa na wanamitindo mbalimbali ambao…
MWONEKANO WA KIOFISI
Ni jumatatu nyingine ambayo watu wengi wana pata shida kuchagua nini wavae ofisini, ukizingatia ni mwezi mtukufu huwezi kuvaa suti ya sketi fupi au suruali ya kubana, inachukua muda kupata suluhisho hasa kwa upande wa wadada lakini tusicho jua kuna vitu vichache tu ambavyo vinaweza…
UBUNIFU KATIKA RAMADHANI
Katika msimu huu wa mwezi mtukufu, Ni dhahiri kuwa wengi wetu tunapata wakati mgumu wa kujua tutavaa nini katika msimu huu. Hapa ndo tunapoona umuhimu wa kuwa na wabunifu, ambao kazi yao ni kutupa mwonekano mpya kila siku. Leo nimejaribu kuangalia baadhi ya mavazi ambayo…
JINSI MKUFU NA MKANDA UNAVYO BADILISHA MWONEKANO
Katika msimu huu wa ramadhani, vazi lilokubwa na linalovaliwa na wanawake tulio wengi ni baibui, leo nataka tuangalie namna ambavyo tunaweza kuvaa mabaibui yetu kwa kuongezea baadhi ya vikorombwezo ili kulipa mwonekano wa tofauti machoni pa watazamaji wetu. Baibui si vazi ambalo wengi wanalivaa kwa…
SIO LAZIMA UVAE BAIBUI KILA SIKU
Ramadhani ndio kwanza inaanza, Najua wengine ni kama mimi, tunawaza mabibui yenyewe machache nilio nayo na yanipasa nivae Stara kila siku nikiwa ofisini, Najua fika kwamba wote tunapenda kuonekana wapya kila siku ndio maana leo nikaamua kuandaa makala hii juu ya Maxi Sketi, Zipo za…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…