Spotted Vanessa Mdee In Platform Heels Trend
Vanessa Mdee A.K.A Mr Akinosho au Mama Seven amaetupia picha yake katika mtando wa Instagram akiwa anatembea na mwanae Seven huku akiwa amevalia white top, distressed jeans na kumalizia muonekano wake na glasses pamoja na green platform heels. Kwasasa platform heels zinatrend sana watu maarufu…
Kourtney Kardashian & Travis Barker’s Wedding In Italy
Finally Kourtney Kardashian na Travis Barker wamefunga ndoa huko Portofino, Italy. Kourtney na Travis walishafunga ndoa lakini ya kwanza ilikuwa ile normal one ambayo ilikuwa tu na watu wachache ila hii ya Italy ni pamoja na ndugu, jamaa na marafiki. Wedding theme ilikuwa Goth, watu…
The Kardashian Took Over Italy For Kourtnrey & Travis’s Wedding
Hii ndio ile hayawi hayawi mbona yamekuwa, haolewi mbona kaolewa. Kourtney Kardashian ni dada mkubwa wa The Kardashian ambae wengi hatukudhani kama sikumoja tutakuja kuona harusi yake but here we are. Well Kourtney ameshaolewa na mwanamuziki Travis Barker kwasasa wapo Italy kwaajili ya sherehe yao,…
Roma Mkatoliki Kuhusu Mark Zugerberg Kuvaa Plain T-shirt
Mwanamuziki Roma Mkatoliki amechukua muda wake na kuandika kuhusu maisha na matumizi ya pesa, katika hoja yake kubwa aliliongelea ni kuhusu mmiliki wa kampuni za WhatsApp, Instagram,Meta na nyingine nyingi kuwa anavaa tu plain t-shirt na kula salad na maji. Tunaelewa Roma alikuwa anajaribu kuelimisha…
Artistic Looks From Amvca 2022
Baada ya kuona best looks kwenye Amvca 2022 tumeona tuwaletee hizi looks ambazo zenyewe zilikuwa kisanii zaidi, yaani zilibuniwa kwa namna ya tofauti kuna ambazo zilikuwa nzuri na kuna ambazo zilikuwa nope, asilimia kubwa ya looks hizi tumeona kuna ambao walikuwa inspired na looks za…
Top 9 Best Male Looks From AMVCA 2022
Wanaume hawakubaki nyuma kwenye kupendeza, tumependa kwamba wengi wao walivaa suit zinazoeleweka huku wakijaribu kuweka utofauti iwe rangi tofauti au kuongezea mbwembwe nyingine. Hawa ndio wanaume 9 waliopendeza zaidi katika macho yetu kwenye AMVCA 2022 Ebuka Siruti Denola Tope Shaggy Akin Elozanam Timini Deyime
Top 10 Looks From AMVCA 2022
Who be us not to talk about AMVCA 2022, Nigerian’s gets it tunachopenda kuhusu wao hawana ile tu, kwamba event yenyewe si ya tuzo za mziki tu au kuwa na mazoea na event. Ni kama event imeanzishwa mwaka huu namna watu walivyo show up and…
Reviewing Looks From Drama Queens
Siku ya Jumapili iliyopita kulikuwa na sherehe ya moja ya member ya group inayojiita drama queen ( Irene Uwoya, Wema Sepetu, Kajala Masanja, Aunty Ezekiel, Jacqueline Wolper na Elizabeth Michael). Sherehe hii ilikuwa ya mtoto wa Irene Uwoya na wenzie walienda ku-show support, walichagua Nigerian…
Poshy Queen Havai Midosho
Video vixen na mfanyabiashara Poshy Queen amefanya mahojiano na Wema App katika segment ya My Truth ambapo katika short clip tuliyoiona kwenye mitandao ya kijamii amesema havai midosho ni bora asivae brand. Kwa wale ambao mtakuwa mnajiuliza mdosho ni nini – mdosho ni vazi fake…
Mishono Kutoka Katika Harusi Ya Rita Dominic
Muigizaji kutoka Nigeria, Rita Dominic amefanya traditional wedding yake jana ambapo watu maarufu mbalimbali kutoka Nigeria walihudhuria katika sherehe hio, as usual Nigerians don’t disappoint. Kama una harusi, kitchen party etc na ungependa kupata mshono wa tofauti basi unaweza kuiga hii kutoka kwao. Matumaini yetu…
HOT TOPICS
As long as hakuna Aya,Mstari Au Kifungu Kinachosema “Kuto Kuoga Ni Dhambi Au Kosa Kisheria” Then Perfume na Bodyspray Tu Zinatosha Msimu Huu
FollowDown To Very Little Details, Read More Here 👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾 https://t.co/IeYufSGMgy https://t.co/IeYufSGMgy
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…