How African Celebrities Slayed Valentines Looks
Jumanne ilikuwa siku ya wapendao na watu maarufu wengi walitumia siku hii kuwatakia wafuasi wao valentines njema huku wakionyesha mavazi waliyovaa siku hio na wengine ambao waliamua kufanya photoshoot kabisa. Well tumeona watu maarufu wengi kutoka Africa wakiwa wamependeza na mavazi yao, Nchi ambazo tumeona…
Neste Talks About Dressing Meena Ally At BSS 2023
We are nestefied! Tulimuona media host kwenye fainali za BSS 2023 kapendeza sana hivyo Afro tuliweza fanya mahojiano na the man behind Meensβs wow looks AFS: Tumeona previous collaborations toka kwako na Meen Ally and this is among the best. Waweza tuelezea the inspiration behind…
Reviewing Hamisa Mobetto,Zuchu & Phina Looks At Soundcity Africa Awards
Jumamosi iliyopita kulikuwa na Tuzo za Sound City Africa huko Nigeria ambapo watu maarufu mbalimbali walihudhuria katika Tuzo hizo huku Tanzania tukiwakilishwa na Hamisa Mobetto, Phina pamoja na Zuchu. Kama ilivyo ada yetu tuliangalia nani amevaa nini na je tuliwakilishwa vyema au tia maji tia…
Njia Za Kuupenda Mwili Wako
Ni rahisi kuwaangalia wengine na kuwaadmire miili yao, kuona kuwa wako vizuri, wanapendeza wakivaa chochote, tofauti na mimi. Unaweza ukangalia staili za nguo na kuona itawapendeza wengine ila sio wewe. Kuna kipindi miezi inapita bila kujiangalia kwenye kioo, na ukijiangalia unaona ile sehemu moja tu,…
Aina 4 Za Flat Shoes Zitakazo Kufanya Uonekane Elegant
Kuna aina nyingi sana za viatu ambavyo ukivaa vitakufanya uonekane elegant. Kama unavyojua kuwa kiatu ndio kitu ambacho kinafunga muonekano wako, ukikosea kwenye kiatu utafanya muonekano wako wote kuharibika na ukipatia basi kinanyanyua muonekano wako kwa kiasi kikubwa. Kuna watu hawawezi kuvaa heels kutokana na…
Beyonce Na Oversized Shoes At The Grammy’s
Usiku wa kuamkia leo tuzo kubwa za Grammy’s zilifanyika huko Los Angeles, U.S.A watu maarufu mbalimbali walihudhuria akiwepo the Queen herself, Queen B ambae amevunja record ya kuwa mshindi wa Tuzo nyingi za Grammy’s anyways Beyonce alienda kupokea Tuzo yake akiwa amevalia corset top na…
Namna 5 Za Kuonekana Stylish Kazini
Moja kati ya vitu ambavyo wengi tunapitia ma-ofisini ni kuwa confused kati ya kuwa over dress na ku-low dress ofisini na chaguo kubwa huwa kuwa katikati yaani usiwe low wala over dressed na hapa ndipo tunapokutana wengi unakuwa na ma shirt yako ya rangi moja…
Gym Outfit Idea’s
Where our gym girls at? na wale ambao tunaplan za kuanza gym mwaka huu tupo? Haya kuna ile kitu huwa tunasema gym kwenyewe sijui hata navaa nini, japo tunaenda kufanya mazoezi lakini haimaanishi tusipendeze right? Tunakuletea gym outfits ideas ambapo unaweza kuchagua ambayo unaona inakufaa…
Bongo Movie Na Fashion
Huwa tunachukua muda kukosoa tunapoona makosa lakini pia huwa hatuachi kusifia pale panapo stahiki sifa, Miaka michache nyuma tulishawahi kukosoa bongo movies kutokana na makosa mbalimbali ya fashion leo tupo hapa kutoa pongezi kwao. Hatujui kama walisoma au ni kwenda na wakati kwasasa bongo movies…
5 Fashion Tips Kwa Wanawake Wenye Matiti Madogo
Wanawake wenye matiti ama vifua vidogo wana advantage kubwa kuliko wenye maziwa makubwa ( we wonder why wanawake wanapenda maziwa makubwa) machaguo yao ya mavazi huwa rahisi kupata lakini pia they can go braless bila watu kushangaa. Well kama una kifua kidogo na una patwa…
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda se⦠https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…