Mambo 3 Yaliyotuvutia Kutoka Katika Event Ya Miss Tanzania 2020
Hatuwezi kuacha kusifia pale sifa zinapo stahiki na kukosoa pale ambapo tunaona pamekosewa hili kujenga Miss Tanzania bora kwa miaka ijayo, tuanze kwa kusema tumefuraishwa na event ya Miss Tanzania mwaka huu. Imeonekana kwamba waandaaji wameanza kusikiliza maoni ya wengine pia. Leo tunaleta mambo matano…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Mshono Wa Kitenge Unao-trend
Kitu kimoja kuhusu kitenge ni huwa hakipitwi na wakati kama ambavyo zilivyo fabric nyingine kama polka dot, stripes kitenge kipo toka enzi na enzi na kinashonwa kutokana na era iliyopo. Leo tunawaangalia watu maarufu mbalimbali ambao wao wametuonyesha namna ya kuvaa kitenge kwa mshono huu…
Reviewing Joel Lwaga Outfis On His Wedding
Mwanamuziki wa Injili kutoka Tanzania Joel Lwaga amefunga ndoa week iliyopita, ambapo alikuwa na sherehe mbili ya send off na ndoa. Hongera kwa Joel na mkewe lakini pia tusinge acha ipite bila kufanya review ya outfit zao katika sherehe hizi mbili Tuanze na sendoff ambapo…
Images From Ally Rehmtullah Kwetu Kwetu 2020 Event
Jumamosi iliyopita mbunifu Ally Rehmtullah alikuwa na event iliyoitwa Kwetu Kwetu ambapo alituonyesha collection yake ya kufungia mwaka. Ally huwa anatoa collection moja tu kwa mwaka na huwa anaifanyia event kubwa kabisa. Mwaka huu alikuwa na hii kwetu kwetu collection. Well tumekuletea picha za matukio…
Former Miss Tanzania For Beauty Legacy Gala Photoshoot
Walimbwende wa zamani kutoka Miss Tanzania wamefanya photoshoot ya Tamasha la Beauty Legacy Gala Tanzania 2020. Utakuwa unajiuliza Tamasha hilo linahusiana na nini “Miss Tanzania 2000, Mjasiriamali na Muasisi wa Dr. Ntuyabaliwe Foundation, Ms.Jaqueline Mengi ameanzisha tamasha la harambee la The Beauty Legacy Tanzania 2020…
5 Photos Kutoka Katika Harusi Ya Williams Uchemba
Muigizaji na mchekeshaji kutoka Nigeria Williams Uchemba amefunga ndoa hivi karibuni, na tunaweza kusema Williams na mkewe Brunella Oscar didn’t come to play. Kila outfit ilikuwa bomb zaidi ya iliyopita, they just did it effortlessly. unaweza kuangalia picha zao hapo chini na kupata idea ya…
Kamshono Kutoka Kwa Spice Diana
Wanasema kizuri kula na nduguyo na sisi tukaona ndugu zetu msipitwe na vizuri, katika pitapita zetu tukakutana na mwanamuiziki kutoka Uganda Spice Diana akiwa amevalia hii statement puff sleeve kitenge dress. Ambayo tumeona inaweza kuwafaa na wengine ambao wanapenda nguo za kushona. Ambapo alimalizia look…
Elizabeth Michael In Elisha Red Label Wedding Dress
Wengi tumekuwa tukisubiri kuona Elizabeth Michael atavaa nini kwenye harusi yake as we all know anapenda sana kupendeza hasa kwenye harusi za wengine, juzi Elizabeth alitu-surprise na gauni ya harusi kutoka kwa mbunifu Elisha Red Label. Kabla hujaanza kujiuliza kama kaolewa au lah, hajaolewa ni…
Happiness Magese Bossing Up In Blue Suit
Happiness Magese is not here to play, sis is slaying look after look and we aint mad at all. Week hii tumemuona na hii blue suit akiwa ameenda katika #WOMENHEALTHTALK2021 Alichagua muonekano wa blue head to toe, alivaa powerful blue suit, viatu vya blue akabeba…
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…