Elisha Red Label Tells The Story Behind Nandy’s Reception Dress
Tunaweza sema Nandy being a fashionista aliweza kutukosha moyo na her reception dress japo baadhi walikuwa na maoni kinzani juu ya kuonyesha her precious baby bump AFS: Tuanze the dress ambapo the baby bump iliweza onyeshwa, the idea ilitoka wapi, kwako, Nandy ama pamoja? Elisha:…
Details On Nandy’s Kitchen Party, Sendoff & Wedding Dresses
Inawezekana uliifuatilia hii harusi kwakina kabisa na ukapenda baadhi ya mavazi (gauni) aliyoyavaa Nandy na hujui yalitoka wapi au unaweza kuyapata wapi,well hizi ndizo details tulizozipata kuhusu magauni aliyoyavaa Nandy. Kitchen Party Dress by Elisha Red Label Nandy alivalishwa na mbunifu kutoka Tanzania Elisha Red…
Wedding Guest’s Looks From Nandy & Billnass’s Wedding
Week iliyopita Jumamosi ya tarehe 16.7.2022, Mwanamuziki Billnass na mpenziwe Nandy walifunga ndoa, na ni moja kati ya ndoa ambazo zimetikisa Nchi kwa namna moja au nyingine. Ikiwa ni harusi ya watu maarufu basi watu maarufu mbalimbali walihudhuria katika shehere hii na hapa tunaangalia wahudhuriaji…
Bijoux Trendy On Working With Ali Kiba
Bijoux ni moja ya wabunifu tulio nao Nchini ambao wapo tofauti kabisa, ikiwa wengi wame base kwenye mavazi ya sherehe na wengine wakiwa kwenye material za kizungu yeye anafanya batiki na mavazi ya ni ya day wear, hivi karibuni tumemuona mwanamziki Ali Kiba akiwa amevalia…
Reviewing Linah’s Look Kwenye Kitchen Party Ya Nandy
Mwanamuziki Linah Sanga alikuwa moja ya watu maarufu waliohudhuria katika kitchen party ya Nandy, Linah alivaa hii nguo kutoka kwa mbunifu Allie Clothings. No shade to Allie maana tunajua kazi zake na yeye ndie aliyemvalisha Ammy Gal Tz, but this look kwa Linah was confusing….
Reviewing Nandy’s Kitchen Party Looks
Jumapili ilikuwa sherehe ya kitchen party ya Faustina Charles Mfinaga a.ka Nandy na watu maarufu wengi walihudhuria ambapo wengi wao walipendeza mno. Rangi za usiku huu zilikuwa gold,njano,nyekundu pamoja na nyeupe. Kama ilivyo ada ni lazima tutoe two cents zetu kwenye mionekano tuanze na mwenye…
Steve & Marjorie Harvey Are Serving Style And Couple Goals In Paris
Inawezekana couple goals yako ni ile ambayo mtazeeka pamoja lakini kwetu sisi couple goals yetu sio kuzeeka bali pia ni kuzeeka na ku-look fly together kama Steve Harvey (65) na Marjorie Harvey (57). Steve na Marjorie wameonekana katika mitaa ya Paris kwenye Paris Fashion Week…
Namna Ya Kuslay Kama Bi Harusi Bila Ya Kufilisika
Unaolewa hivi karibuni na una stress za uvae nini bado hujapata pesa za ukumbi, vyakula,vinywaji etc. Well unaweza kupendeza ukiwa katika budget ambayo haiumizi sana. Jaribu Kutumia Wabunifu Wapya Ikiwa wabunifu ndio wanaanza bei zao huwa reasonable hataki faida kubwa yeye anachojali afanye kazi nzuri…
Kongole Zetu Kwa Top 3 Ya Miss Tanzania 2022
Kama ambavyo wakiharibu tunasema basi pale wanapo fanya vyema wasifiwe pia, Top 3 ya Miss Tanzania 2022 inastahiki pongezi, toka wapokee taji hili wamekuwa wakijitahidi sana kuonekana vyema na kwamba wanastahiki taji hili. Tunapenda namna wanavyo jibeba (carry) kuanzia mionekano yao, mavazi, viatu, makeup namna…
Vitu 4 Vinavyoweza Kusaidia Muonekano Wako Kuwa Stylish
Huitaji nguvu nyingi kwenye mavazi kuonekana stylish, wengi wetu huwa tunadhani kuonekana stylish basi tuvae vitu vingii, au tuvae trend outfits kumbe unahitaji kujua vitu hivi vinne ambavyo vinaweza kufanya muonekano wako hata kama ni simple kuonekana stylish. Lipstick Lipstick inaweza kuubeba muonekano wako kwa…
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda se… https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…