Anitha Closet Ametuambia Anawezaje Kuwa Mama Na Kupendeza Muda Wote
Tumefanya Interview na mwanadada Anitha Closet tunaweza kusema nimoja kati ya interview bora kabisa ambazo tumeshawahi kuzifanya tulimpa Anitha maswali 9 ambayo alijibu kwa voice note swali la kwanza ambalo tunaanza nalo leo ni swali la yeye Anamanage vipi kuwa mama na kuwa stylish muda…
Namna Ya Kuwa Dazzling Wedding Guest Bila Ya Kufilisika
Kuwa mgeni mualikwa kwenye harusi kwasasa ni ghali, yaani ukisikia harusi unaweza kutamani Dunia ifunuke uingie, kuna michango kuna manunuzi ya sare, viatu, makeup, nywele, viremba, accessories na vingine vingi tuseme a wedding guest kwasasa inahitaji investment ya haja. Well unaweza kuwa mgeni mualikwa ukapendeza…
Martin Kadinda On Harmonize & Kajala’s Engagement Day Looks
AFS: So the one and only MK umeweza simamia the #Harmojala late lunch turned into engagement party kuanzia mavazi hadi decor. Kwanza hongera sana na je the whole event coming to life, ilikuwa ni a planning na execution ya muda gani in both decor and outfits? Martin:…
How To Dress Powerfully
Umesha wahi kukutana na kijana ambae anafanya kazi ya kawaida lakini unaweza kudhani yeye ndio CEO wa kampuni hio? Yes inawezekana na wewe kufanya hivyo, wengi wetu tunatumia excuse ya kwa kazi gani? au mimi siwezi ku-dress vile kuna wenyewe, futa hizo fikra unaweza kwa…
Reception / Wedding Guest Dresses Inspiration From Chioma Ikokwu
Anaitwa Chioma Ikokwu au Chiomagoodhair ni mfanyabiashara na wakili kutoka Nigeria lakini pia ni fashionista mzuri tu huwa hanaga kazi mbovu anajua anachofanya. Leo tunakuleta looks chache zilizotuvutia kutoka kwake ambazo na wewe unaweza kuiga iwe ni reception dress au wedding guest dress. well tuambie…
Tip Ya Kuondokana Na Vidole Kutokeza Nje Ya Kiatu
Vidole kutokeza nje ya kiatu hukupa muonekano mbaya, inawezekana umenunua viatu vinakutosha vyema ila ukavivaa ukiwa umepaka lotion miguuni kwenye sole viatu vikawa vinateleza au inawezekana una tatizo la jasho miguuni ambayo nayo husababisha miguu kuteleza kwenye viatu na sababisha vidole vitokeze mbele,either way tuna…
Vitu 5 Vinavyofanya Muonekano Wako Uonekane Cheap
Unaweza kuvaa vitu expensive au hata vya bei rahisi ukapendeza, lakini kuna vitu ambavyo ukivivaa au ukavifanya hata kama ukiwa umevaa vazi la mamilioni bado unaonekana cheap. Yes na wengi wetu huwa tunajisahau na kufanya haya makosa. Nywele mbaya Nywele zinaweza kufanya muonekano wako kutoka…
4 Fashionable Ways To Go Broke As A Woman
Katika Dunia kuna namna unaweza kufilisika lakini in a way mwenyewe unaona kwamba ni sawa sisi tunaita fashionably broke, kwamba unakuwa huna pesa lakini unaonekana vyema kimuonekano, which kimuonekano inaweza kuwa sawa ila kwa ndani si sawa. Leo tunakuletea namna 4 unaweza kuwa fashionably broke…
Mkono Upi Sahihi Wa Kubeba Handbag?
Hatudhani kama ulishawahi kujiuliza mkono upi sahihi kubebea handbag yako, kwasababu wengi tunajua kubeba handbag kiurahisi ni kuibebea mkono wa kulia. Je wajua mkono huu si sahihi kubeba handbag? Handbag inatakiwa kubebwa mkono wa kushoto, utajiuliza kwanini? wataalamu wanasema kubeba handbag mkono wa kushoto kunakupa…
Giuseppe Zanotti Watangaza Kurudisha Cruel Iconic Heels
Remember this ?? Hiki kiatu ilituletea shida na copy za kichina zikawa kibao mtaani . Waliofanikowa kuvaa OG wabaki na heshima yao maswali kibao lakini kiukweli kwa Tanzania hii labda wasio na majina ambao hawajulikani ila ma star wetu wengi walitred kwa kuvaa copy za…
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda se… https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…