Pieces To Invest In As A Plus Size Tips From Anitha Closet ( Part 2)
Kama wewe ni plus size na unapata shida kujua ni pieces gani za mavazi u-invest in ili uweze kupendeza kama wengine basi hii inakuhusu tumefanya mahojiano na Plus Fabulous na ametutajia ni pieces gani ambazo mwanamke mnene anaweza ku-invest in zikamsaidia kwenye mavazi yake. Unaweza…
Anitha Closet Na Tips ZaKuwa Mama Na Kupendeza Muda Wote (Part 1)
Inawezekana umekuwa mama kwa mara ya kwanza hivi karibuni au ni mama wa muda mrefu lakini muonekano wako hakuridhishi, tumekuletea interview na moja ya plus faboluos na mama wa watoto wanne na bado ana keep it fresh & stylish, Anitha Closet ambae ametuambia namna yeye…
Anitha Closet Ametuambia Anawezaje Kuwa Mama Na Kupendeza Muda Wote
Tumefanya Interview na mwanadada Anitha Closet tunaweza kusema nimoja kati ya interview bora kabisa ambazo tumeshawahi kuzifanya tulimpa Anitha maswali 9 ambayo alijibu kwa voice note swali la kwanza ambalo tunaanza nalo leo ni swali la yeye Anamanage vipi kuwa mama na kuwa stylish muda…
Love Jua Kali Kuhusu Plussize Na Body Shamers
Katika segment yetu ya plus fabolous tumepata nafasi ya kufanya mahojiano na muigizaji Hellen Herman ambae wengi tunamfahamu kama Love Juakali, AFS: Tuanze Na Historia Yako Kwa Ufupi. Love: MY NAME IS HELLEAN HERMAN BORN IN 9th APRIL COUPLE OF YEARS AGO IN TANGA CITYBEING…
Pata Kumjua Designed By Shuu
AFS: Tukufahamu Kwa Ufupi? Shuu: naitwa designed by shuu AFS: Kwanini Uliamua Kufanya Wedding Dresses? Shuu: kwa sababu ni kitu ambacho napenda toka nikiwa mdogo kifupi napenda mitindo na urembo AFS: Huwa Unatoa Wapi Inspiration Zako? Shuu: Nikiangalia nilipotoa napata nguvu ya kupambana zaidi! Mimi…
101 With Nakaaya Kuhusu Plus Size Na Body Shamers
Katika segment yetu mpya ya plus fabulous tumepata nafasi ya kufanya mahojiano na mwanamziki, mfanyabiashara na mdau wa utalii, Nakaaya sumari ambapo tumeweza kuongea nae kuhusu maoni yake juu ya body shamers na plus size, soma hapo chini kujua nini maoni yake, AFS: Tuanze Na…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…