Gym And Workout Essentials PART 1
Kama tunavyojua kwenye kila kitu kuna essentials needs hivyo kwenye workout na gym basi kuna baadhi ya vitu hautakiwi kukosa kuwa navyo. Unaambiwa gym and workouts essentials zimegawanyika katika sehemu sana ila leo tungependa kudeal na baadhi ya vitu ambavyo ni dhambi kubwa sana kukosa…
Njia 6 Rahisi Za kupunguza Uzito Bila Ya Kutumia Diet
Wakati wengi wamemaliza kufunga Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na kupungua uzito wengi watakuwa wanajiuliza namna ambavyo wanaweza ku-maintain mwili wako ubaki hivyo hivyo bila ya kuongezeka huku wengine wakiwa wanateseka na namna wanaweza kupunguza miili yao bila ya kufanya mazoezi na kufanya diet kali. Kuna…
Punguza Tumbo Kwa Maji Ya Tangawizi
Wengi huwa tunasema kufanya mazoezi ni kazi na tunaweka ugumu na visingizio kadha wa kadha kama muda wa kufanya mazoezi hatuna na mengine mengi, lakini tunapenda sana kuwa na tumbo dogo na kupata lile umbo namba 8 alilo liimba Daz Baba kipindi hicho. Lakini si…
Kylie Jenner Is Back After Giving Birth And She Still Is Body Goals
So Kylie Jenner karudi kwenye macho ya watu na mitandao baada ya kujifungua, yes she is in her 20’s and yes tayari ana mtoto. Kylie alikua na ujauzito wa mwanamuziki Travis Scott ambapo waliamua kuwa low key kwa miezi tisa mpaka pale Kylie alipojifungua tarehe…
Green Tea Benefits On Weight Loss With Samichepi
Samichepi ni binti wa miaka 19, sisi tumemjua kutoka mtandao wa instagram ambapo ana wafuasi 105,000/- mpaka sasa, kwa mtu wa kawaida kuwa na followers laki na kuendelea kwa kufanya biashara tu ni jambo kubwa. Samichepi alianza na biashara ya kuuza bidhaa za urembo ambazo…
Namna Ya Kuangalia Mwili Wako Katika Mwezi Wa Ramadhani
Kuna watu wengi huwa wana sema nitapunguza ukifika mwezi mtukufu wa Ramadhani wakidhani kule kufunga kwa masaa kadhaa kuta punguza miili yao lakini kumbe una weza ukafunga na usipungue au ukazidi kunenepa yes una weza kushangaa au kudhani ni uongo lakini Mwezi Mtukufu ndio mwezi…
Tips Za Kupungua Uzito Ndani Ya Siku 7 – Khloe Kardashian
Bado the interment is not over Khloe Kardashian Revenge body kila mtu ana taka kujua ame fanya nini kupunguza uzito alio kuwa nao na kuwa alivyo sasa, wengine wakisema Khloe ame fanya surgery kupata ule mwili Khloe akameona isiwe shida kaamua kutoa Tips za jinsi…
ONDOA TUMBO KWA KUNYWA MAJI HAYA
Chukua jagi kubwa na weka vifuatavyo: 1. Maji na slice za: 2. Matango yaliyokatwakatwa 3. Malimao au Ndimu 4. Mdalasini 5. Tangawizi au Manjano ukiweza kupata 6. Majani ya mint (ukipata) Weka mchanganyiko kwenye friji na tumia kama maji ya kawaida. Ukipenda maji yakiisha weka…
FAIDA NA MADHARA YA WAIST TRAINING (CORSET)
Wanawake wengi sasa hivi wanataka kuwa na muonekano mzuri na wenye mvuto na wengi hawapendi vitambi, ni jambo zuri kwa mwanamke kujiweka smart lakini ina tegemea na u smart huo unautafutaje. Kuna njia nyingine zina kupa matokeo ya haraka lakini zina madhara makubwa na kuna…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…