SUBSCRIBE NOW

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Mitindo, Picha

RED CARPET GOLDEN GLOBE AWARDS 2017 

2017 Golden Globe Awards imefanyika jana (January 8) katika hotel ya Beverly Hilton Hotel iliyopo  Beverly Hills, California. Sherehe hizi huwa zina honor wachezaji movies, movies na American Television, Na hawa ni mastaa walio hudhuria na vivazi vyao vya siku hio    

Picha

The British Fashion Awards 2016 

The british fashion Awards ime fanyika usiku wa kuamkia jana ambapo Gigi Hadidi ame shinda tuzo ya model of the year yaaay (Gigi is our favorite), na hivi ndivyo baadhi wa watu maarufu walivyo tokelezea katika usiku wa tuzo hizo Lily Laura Haddock Gigi Hadid…

Picha

Mitoko tuliyo ipenda ANGEL BALL 2016 

Angel Ball ni event inayo fanyika kila mwaka ambapo watu huwa wana jitolea vitu mbali mbali kwa ajili ya ku support cancer research, huwa wana kutana watu mbali mbali, wafanya biashara, models wana muziki nakadhalika. Hizi ndizo tulizo zipenda Rachel Hilbert Kriss Jenner Toni Garrn…

Picha

GLAMOUR MAGAZINE WOMAN OF THE YEAR 

Glamour Magazine Woman Of The Year ime fanyika jana, ma staa mbali mbali walikuwepo akiwemo Gweni Stephani ambae ame shinda award hii. Baadhi ya tulizo zipenda katika red carpet Ashley Graham Cara Delevingne Gweni Stephani Ibtihaj Muhammad Leona Lewis Caithlyn Jenner Freida Pinto Chanel Ima…