Katika suala la foundation tunazo Aina mbali mbali za foundation Kama vile Liquid foundation, Cream foundation, powder foundation na nyinginezo nyingi. Kwa Leo naomba kuongelea kuhusu “compact foundation” kwa kutazama foundation kutoka kwa dada Shekha ambayo Ni “manjano 24k Oil free Compact Foundation” Kitu kimoja…