Namna Ya Kutunza Nguo Zako Nyeusi Zisifubae
Kutunza nguo nyeusi ni mtihani kidogo japo wengi tunapenda kuwa nazo lakini huwa zipo kwenye hatari kubwa ya kufifia. Kufifi kwa nguo nyeusi hutokana na Kufuliwa katika maji ya uvuguvugu kuzianika katika jua kali kuzifua mara kwa mara Kuzivaa na kuzunguka nazo juani zikapata jasho…
Usisahau Shingo Katika Kujali Ngozi Yako
Moja ya makosa yanayotokea mara kwa mara kwenye kupaka vipodozi, kujisafisha na kujali ngozi zetu huwa tunasahau sana kuijali ngozi ya shingo, unaweza kukuta ngozi kote ni nyororo na safi lakini shingoni ni pachafu na hapana mvuto kama wa sehemu nyingine. Ukiachana na kutokuwa na…
Sababu 3 Muhimu Za Kwanini Usafishe Makeup Brushes Zako
Kwa sasa karibu kila mwanadada anamiliki makeup na makeup brushes, lakini wengi wetu inachukua miezi kusafisha hizi brushes tukiona hakuna umuhimu wakufanya hivyo leo tunakuletea sababu tatu muhimu za kwanini unahitaji kusafisha makeup brushes zako mara kwa mara NAMNA RAHISI ZA KUSAFISHA MAKE UP BRUSH…
Hatua 3 Rahisi Za Kung’arisha Uso
Sote tunapenda kuwa na ngozi nyororo yenye mvuto, lakini wengi wetu ni kitu gani sahihi cha kufanya ili kuweza kupata muonekano huo, leo BintUrembo amekuletea hatua tatu rahisi unazoweza kufanya ili kuweza kung’arisha uso wako 1. Tumia Facial Cleanser kusafisha uso wako. Ni nzuri zaidi…
Je Unatakiwa Ukae Umbali Gani Wakati Wa Kupaka / Kupulizia Perfume?
Kila mmoja wetu atakuwa anajua perfume ni nini na kazi yake, lakini pia wapi unatakiwa kupaka perfume hizi. Tulisha ongelea kuhusu perfume na wapi pa kuzipaka kama hujawahi kusoma na ungependa kusome click link hapo chini Dondoo Za Kufanya Unyunyu “perfume” Wako Udumu Kwa Muda…
Je Ni Sawa Kutumia Lotion Ya Mwili Usoni?
Tumekuwa tukipata maswali mengi kuhusu kutumia lotion ya mwilini usoni, Je ni sawa kupaka lotion ya mwili katika ngozi ya uso? Jibu ni Hapana, Na hii inaenda kote kwa wanaume na wanawake, wanaume wengi wanatumia lotion za mwilini kupaka na usoni pia, jua unaharibu ngozi…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…