Fanya Haya Ili Ngozi Yako Ionekane Maridadi na Yenye Mnga’o
Ngozi ni kiungo ambacho hutenganisha viungo vya ndani vya miili yetu na mazingira yanayotuzunguka popote pale tuwapo yaani ‘interface with the world’. Ngozi ni kiungo kikubwa zaidi ya viungo vingine katika miili yetu ambayo ina uzito kati ya paundi 7 hadi 10 na ina ukubwa…
Chunusi Na Matibabu Yake
Chunusi ni ugonjwa wa ngozi ambao hujit-okeza kama viuvimbe/vipele vidogo vidogo hasa sehemu za uso,kifuani na hata mgongoni.Vipele hivi hutokea wakati vishimo vya kupitisha jasho katika ngozi vinapozibwa kwa mafuta au seli za ngozi zilizokufa au wadudu yaani Bacteria. Karibu asilimia 85 ya vijana kati…
Dondoo 7 Za Kutunza Ngozi Yako Wakati Huu Wa Mwezi Mtukufu Wa Ramadhani
Ramadhani ni ibadah ambayo inatekelezwa na waislamu wote Duniani, kwenye ibadah hio ambayo inahusisha kujizuia kula na kunywa pamoja na mengineyo. Inaweza kukupa wakati mgumu ngozi yako kuonekana bora kwa wakati huu. Hizi ni Dondoo 7 za kufanya wakati huu wa Ramadhan ili ubaki na…
Makosa Ya Ngozi Unayoyafanya
Utaratibu kwa utuzaji ngozi umekuwa kitu cha kawaida na kizuri, wengi wetu tunachukulia serious sana hili swali kila mmoja wetu anatakakuwa na skin goals. Lakini unaweza kukuta unatumia vipodozi vizuri ila matokeo huyapati unayoyataka hapa sasa ndipo shida huanza, unajijali lakini matokeo hupati kumbe unafanya…
Fahamu Vipodozi Vitakavyo Haribu Mwili Wako
Ni haki na ni vizuri kujipendezesha na kuwa na muonekano mzuri kwani muonekano wako ni sehemu ya moyo na maisha yako. Ukiwa na muonekano mzuri utachukuliwa kama ni mtu wa kuheshimiwa, kupendwa na kuthaminiwa. Ukiwa na muonekano mbaya inakuwa kinyume chake, labda uwe na vitu…
Sababu 6 Kwanini Kipodozi Chako hakifanyi Kazi Ipasavyo
Umeshawahi kujiuliza kwanini kipodozi chako hakifanyi kazi ipasavyo? Na unatamani kuachana nacho na kutafuta kipodozi kingine? Well DON’T kuna sababu nyingi sana aambazo huchangia kipodozi kisifanye kazi yake vizuri. Leo tutaongelea sababu hizo. Kutokutumia Kipodozi Ambacho Kina-regimen za aina ya ngozi yako Hapa ndipo unakuja…
Je Nahitaji Kutumia Towel / Taulo Tofauti Mwilini Na Usoni?
Tunatumia muda mwingi katika kuhakikisha ngozi zetu zinakuwa nzuri, unakuwa na skin care routine, unaosha uso wako vyema lakini bado utakuta matokeo hayawi vile ambavyo unategemea kumbe kuna baadhi ya vitu vidogo vidogo ambavyo vinasababisha hili kimoja wapo ikiwa ni Taulo, Khanga, Kitenge au kitu…
Jinsi Ya Kutumia Tango Kuilainisha Ngozi
Tango ni tunda muhimu sana katika kusaidia afya na uzuri wa ngozi. Unaweza kula tunda lenyewe, kupaka juisi yake, kugandika vipande vyake vidogo vidogo au kunywa juisi yake. Njia zote hizo zinakusaidia kupata virutubisho muhimu kwa ngozi yako. Tango husaidia sana kulainisha ngozi na kuikaza…
Jinsi Ya Kutunza Ngozi Yako Wakati Huu Wa COVD19
Mlipuko wa ugonjwa wa Corona ( COVD 19) umeathiri Mataifa mbali mbali ikiwemo Tanzania. Hali hii imesababisha ratiba na mwenendo wa maisha kubadilika. Hapa chini tunakuletea jinsi unavyoweza kutunza ngozi yako wakati huu wa COVD-19 Kaa mbali na Msongo wa Mawazo.Ugonjwa wa Corona upo, unatia…
Hatua 3 Rahisi Za Kung’arisha Uso
Sote tunapenda kuwa na ngozi nyororo yenye mvuto, lakini wengi wetu ni kitu gani sahihi cha kufanya ili kuweza kupata muonekano huo, leo BintUrembo amekuletea hatua tatu rahisi unazoweza kufanya ili kuweza kung’arisha uso wako 1. Tumia Facial Cleanser kusafisha uso wako. Ni nzuri zaidi…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…