SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Skin Care

Ondoa Chunusi Kwa Kutumia Apple Cider Vinegar 

Hakuna anayefurahia chunusi, na hakuna anayependeza akiwa na chunusi, Chunusi zimekuwa zikiwapata sana watu wenye ngozi za mafuta. Juhudi za kuteketeza mafuta yanayozidi kwenye ngozi zinahitajika kwani ndio chanzo kikuu cha chunusi. Leo na waletea Apple cider vinegar (siki ya apple) kama kipodozi asilia cha…

Skin Care

Faida Za Giligilani “Coriander” Kwenye Urembo 

Giligiliani ni kiungo cha kawaida sana,wengi tunakitumia jikoni kwenye mapishi mbalimbali,Kinaharufu nzuri na ladha ya uchachu kwa mbali.Majani na mbegu za giligiliani vyote hutumika kama viungo jikoni.Giligiliani inawingi wa Vitamini A, B6, C,B12,pia ina wingi wa madini chuma(iron),Calcium na Magnesium. Giligiliani inasifika kwakua dawa na…

Skin Care

Namna Ya Kuondoa Madoa Meusi Usoni 

Madoa meusi (black spots) usoni ni jambo ambalo linawasumbua wanawake wengi sana na hupelekea mtu kutokujiamini na mara nyingine kujidharau, kujichukia na kukosa ujasiri wa kuwa bila ya make up “off make up”. Hili tatizo husabaishwa na vitu tofauti,hivyo kujua chanzo cha tatizo ni muhimu…

Skin Care

Mchakato Wa Ngozi Kuzeeka Unaanzia Miaka 20 

Makunyazi AU Mikunjo Katika NGOZI Hasa Usoni “facial wrinkles”ni kitendo cha ngozi ya juu ya binadamu kupoteza umbo lake la wali na kuwa dhaifu hivyo kujikunjana kuchora mistari mistari hivyo kufanya ngozi kuwa dhaifu na kupoteza mvuto na uhalisia wake! Sababu Kuu Ya Makunyazi Ni…

Skin Care

Jinsi Ya Kujua Aina Ya Ngozi Yako 

Ngozi huchangia asilimia sita mpaka kumi (6% – 10%) ya uzito wa mwili wa binadamu na pia ina ukubwa wa wastani wa futi za mraba ishirini na moja kwa mtu mzima.Hii hupelekea ngozi kuwa ni kiungo ambacho ni kikubwa katika mwili wa mwanadamu. Katika mwili…