SUBSCRIBE NOW

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Skin Care, Urembo

Ngozi Yako Inaongea Isikilize 

Siyo siri kwamba chunusi zinaweza kuwa vigumu kuziondoa.  Pengine umejaribu kila Aina ya  cream, chakula na dawa ya nyumbani “home remedies” lakini jibu linaweza kuwa dhahiri kuliko unavyofikiri.  Na hapa Ndio unapokuja umuhimu wa wewe kuisikiliza ngozi yako. Lazima uelewe ni nini Ukifanya kwenye Ngozi…

Skin Care, Urembo

Liwa Na Faida Zake Katika Urembo 

Mmea wa liwasili yake ni nchini India na huko ndiko unapendwa na kutumika sana .Kwa hapa n Tanzania mti huu tunauita ‘Mliwa’ ambapo leo tunauangazia faida zake mbalimbali katika  tiba, una faida katika tiba mbalimbali lakini leo tunaongelea kuhusu urembo, ni faida gani mmea huu…

Skin Care, Urembo

Faida 2 Muhimu Za Zambarau Katika Ngozi 

Inawezekana ukawa unakula haya matunda lakini hujui faida zake nyingine, unakula tu kwa sababu unayapenda. Ukiachana na utamu  zambarau zina faida nyingi katika urembo lakini pia katika afya, leo tunakuletea namna ambavyo unaweza kutumia zambarau kutibu aina mbalimbali ya vitu katika ngozi. Hutibu Chunusi  …

Skin Care, Urembo

ROSE WATER NA MATUMIZI YAKE 

Rose Water ni maji yanayo tokana na kuloweka majani ya maua rose katika maji, kinacho patikana hapo hutumiwa kutengeneza Perfume, kuweka kwenye chakula na hata kutumiwa katika urembo. Leo tutaongelea zaidi kwenye urembo hutumika kama Toner Rose water inaweza kutumika kutone ngozi yako maana insaidia…