SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Skin Care

Faida 2 Muhimu Za Zambarau Katika Ngozi 

Inawezekana ukawa unakula haya matunda lakini hujui faida zake nyingine, unakula tu kwa sababu unayapenda. Ukiachana na utamu  zambarau zina faida nyingi katika urembo lakini pia katika afya, leo tunakuletea namna ambavyo unaweza kutumia zambarau kutibu aina mbalimbali ya vitu katika ngozi. Hutibu Chunusi  …

Skin Care

ROSE WATER NA MATUMIZI YAKE 

Rose Water ni maji yanayo tokana na kuloweka majani ya maua rose katika maji, kinacho patikana hapo hutumiwa kutengeneza Perfume, kuweka kwenye chakula na hata kutumiwa katika urembo. Leo tutaongelea zaidi kwenye urembo hutumika kama Toner Rose water inaweza kutumika kutone ngozi yako maana insaidia…

Habari

Do Spa-Like Facials At Home 

Weekends wengi tunapenda kwenda kujifanyia treatment za urembo kama kuosha na kusuka nywele, kwenda spa kwa ajili ya massage na matibabu ya ngozi hasa usoni. Lakini vipi kama huna pesa au unasikia uvivu kwenda Spa siku hio? haimaanishi usifanye vyote hivi unaweza kujifanyia vyote mwenyewe…

Skin Care

Njia 2 Za Kuimarisha (Kukaza) Ngozi 

Ngozi huanza kuanguka/kushuka au kuwa laini kutokana na sababu mbalimbali ikiwepo uzee, jua, kutumia vipodozi vyenye kemikali kwa muda mrefu au magonjwa, hakuna anependa kuwa na ngozi za aina hii kwaio ni muhimu kuchukua hatua mapema kabla hazija tufikia lakini kama umeshafikia hatua hiyo si…

Skin Care

Ng’arisha Ngozi Kwa Maji Ya Mchele 

Kuna vitu unaweza kuvisikia na usiamini lakini ni kwamba maji ya mchele yanaweza kukupatia ngozi nyororo na ng’avu, maji ya mchele ni siri ya urembo kwa wanawake wa ki-Japanese, tulishawahi kuona namna wanatumia maji ya mchele kukuza nywele lakini kumbe inawezekana kutumia hata katika ngozi,…

Skin Care

Baking Soda Facial Scrub 

Kila mtu kwa sasa anapenda kufanya kitu kilicho ndani ya uwezo wake, balling in a budget, vocationing in budget, na hata ku slay on budget well hata kupata gozi nyororo basi inawezekana kufanyika in budget, yes kuna vitu vingi ambavyo vinaweza kutumika kama multipurpose kama…

Skin Care

Jinsi Ya Kuonda Sugu Za Makalio 

Kuna vitu vinaweza kukufanya usiwe comfortable kuvaa mavazi ya aina fulani kutokana tu na kuwa na kasoro au kitu kidogo sehemu hio na labda una shindwa kuomba ushauri ufanye nini kutokana na sehemu hio kuwa ya siri kidogo. Mfano mzuri ni wengi kuogopa kuvaa body…