SUBSCRIBE NOW

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Skin Care, Urembo

Blackhead Removing Mask 

Kuna wenzetu na sie ambao hatuishi kujikamua vipele, baada ya kujikamua ngozi huji rudi lakini huwa ina weka weusi au kuna wale ambao wao hawakamui kabisa vipele vyao hukaa kwa muda na mwishoe kukomaa kuwa cheusi kwa juu lakini pia kuna vijipelevya puani au utosini…

Skin Care, Urembo

FACIAL SCRUB KWA NGOZI ZENYE MAFUTA 

kwa kutumia vitu vichache kutoka jikoni, una weza kutengeneza na kupata face scrubs bila kuwa na wasiwasi wa kupata madhara kutokana na makemikali, kutumia kitu ulicho tengeneza mwenyewe kuna kupa nafasi nzuri ya wewe kuondokana na kuingiza makemikali katika ngozi yako. Tutakupa njia tatu na…