SUBSCRIBE NOW

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Mitindo, One on One

Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi 

Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer  Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na  hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…

One on One, Urembo

Pata Kujua Zaidi Kuhusu Phyna Lashes 

Kama mabvyo Mheshimiwa Rais amesema kutaka Tanzania ya Viwanda basi ndivyo ambavyo wa-Tanzania tunafanya kwa sasa, kila mmoja anajaribu kufanya na kugundua kile ambacho ana kipenda na kukifanyia kazi. Kuna na Phina au Phyn, yeye anauza Fake Eye Lashes ambazo anatengeneza mwenyewe yaani ni bidhaa…