SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

MCOTD – NAMIBIAN MODEL LUIS MUNANA 

Tulianza kumuona Luis katika reality Tv show ya Big Brother ambapo alikua jumba moja na mshindi wa shindano hilo Idris Sultan, Luis alikuja kupata sana jina Tanzania baada ya kuwa na mahusiano na Miss Tanzania 2016 Wema Sepetu. Leo kawa Man crush outfit of the…

I'm A Celebrity

STREET STYLE NA DOGO JANJA 

Dongo Janja alianza muziki akiwa mdogo sana, na amekua akiwa katika muziki tunamuona kipindi kile alikua hayupo sana into fashion tuna weza kusema hivyo au labda kwa sababu alikua mdogo alikua ana chaguliwa nguo au ana vaa ilimradi kavaa sio kama sasa, tunamuona dogo janja…

Mitindo

CRUSHING EMPRESS JAMILA STYLE 

Empress jamila ni fashion blogger kutoka Ghana lakini pia ni personal shopper,Leo kilicho tufanya awe crush qwtu ni jinsi empress anavyo weza kuji style. yupo fashionable na anaweza kubadilisha vazi lolote aka lifanya ulipende boyfriend ripped jeans nigerian swagg wedding guest little b;ack dress bandage…

Mitindo

STREET STYLE NA FASHION BLOGGER WARINDA IMIE 

Warinda Imie ni fashion blogger kutoka Kenya, ambae blog yake ina itwa http://www.aimiesclosetclassified.com/ una weza kutembelea kuona her style. hizi ndizo zilizo tuvutia kutoka kwake ambapo na wewe una weza kuiga creamy Fur na  bandage dress akiwa kamalizia muonekano wake na lace up heels skater…

Mazoezi

INSTAGRAM CRUSH @SAYMARIAH 

Instagram ana tumia jina la @saymariah Jina lake ni Mariah ni fashionista wa Instagram pia ana duka lake liitwalo @saymariah_africanfashion ambalo lina deal na mavazi ya ki Africa. Kilicho tuvutia kutoka kwake ni uwezo wake wa kupangilia nguo mid skirt swagg boyfriend distressed jeans, red…

Mitindo

ZENDAYA AME SLAY KATIKA LOUIS VUITTON DRESS 

Zendaya Maree Stoermer Coleman ana julikana kwa jina lake la kwanza tu Zendaya ni mwanamuziki, muigizaji pia ni dancer, juzi Zendaya alionekana akiwa amevalia kila kitu kuanzia chini mpaka juu kutoka kwa mbunifu Louis Voitton, na tumependa kila kitu kutoka katika mtoko huu Zendaya akiwa…