SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

STREET STYLE NA MWASITI ECKHARDT 

mwasiti eckhardt ni m-Tanzania anaye ishi Uganda ni Fashionista, Make up artist pia ni Fashion Blogger (http://secondhandclothfashion.blogspot.com/), unaweza kumpata Instagram @mwasiti_eckhardt, Leo tuna muweka mwasiti kutokana na umahili wake katika kupangilia mavazi, anajua hasa kuvaa na ana vaa kila kitu. ana pendelea kuvaa African print…

Mitindo

STREET STYLE: PAJAMA TREND 

Inawezekana ndio ukawa mtindo rahisi kuliko mitindo yote yaani ni effortless, kwanza kuna kila aina ya za pajama na ni jinsi ya wewe kuzi style tu pia hazi hitaji mi kiki mingi unaweza uka vaa simple na uka pendeza, tumeona watu maarufu wengi wakiwa obsessed…

Mitindo

NG’ARISHA WEEKEND YAKO KWA MITOKO HII 

Kuna zile nguo huwa tunanunua kwa sababu tu tume penda rangi zake lakini tukifika nazo nyumbani huwa hatuzivai ila tuna sikia faraja tu kuona zipo kwenye makabati yetu, basi weekend hii jaribu kutoa ile suruali yako yenye rangi rangi na ujaribu kuivaa uone utakavyo toka…

Mitindo

MTOKO WA LEO NA LINAH SANGA 

Tumewaona watu wengi maarufu kama Vanessa Mdee, Idris Sultan katika Viremba aina ya Turban lakini tunaona staili hii inaendelea ku kiki baada ya mwanamuziki Linah Sanga nae kuonekana akiwa amefunga kiremba aina hiyo. Kusema ukweli Turban haimkatai mtu, Linah amefunga kiremba iko huku akiwa amepaka…

Mitindo

TATU KALI KUTOKA KWA K-LYNN 

Ana julikana kama K-lynn lakini jina lake kamili ni Jacqueline Ntuyabaliwe, alisha wahi kuwa miss, mwanamuziki na sasa ana miliki kampuni yake ya ubunifu. Hizi ndizo picha zake tatu tulizo zipenda kutoka kwake wiki hii, viatu na hiyo gauni ni wow, wenyewe wanaita The Little…

Fashion Cop

CRUSHING VIATU VYA ELIZABETH MICHAEL 

Katika wasanii ambao wana miliki viatu vizuri basi huwezi kumkosa Lulu na kwa bahati nzuri ana vaa kila aina ya kiatu iwe raba,simple sandals au viatu virefu hivi ni baadhi tu ambavyo tumevipenda Lulu katika viatu vya Timberland Red Heels kila msichana katika kabati lake…