Pata Kumjua Stylist Rosemary Kokuhilwa
Rosemary Kokuhilwa ambae kwa sasa ana yake yapo jijini New York ni moja kati ya stylist wakubwa kutoka Tanzania, Rosemary si tu stylist bali alishawahi kuwa fashion blogger wa fashionjunkii.com, Co – Funder wa Global Fashion Newyork, pia alishawahi kuwa model lakini pia ni makeup…
Kiki Zimba Swahili Fashion Week Collection 2015
Tunajua kwamba kuna sehemu moja tu ambapo utapata kushuhudia collection za Wabunifu wetu kutoka Tanzania basi ni katika Jukwaa na Swahili Fashion Week, leo katika throw back tunakuletea Collection ya Mbunifu Kiki Zimba ambayo alii-debut katika jukwaa la Swahili Fashion Week mwaka 2015. Look Book…
Martin Kadinda Gadabout Collection
Mbunifu Martin Kadinda ali debut hii collection mwaka jana katika Swahili Fashion Week, ambapo aliipa collection yake jina la Gadabout Collection, Gadabout maana yake ni kama mtafiti, mtu anae tafuta kitu fulani au aliye safarini kutafuta kitu fulani ni kama angeeita “msafiri” ila hii ni maana ya…
Red Carpet Ya Tuzo Za Watu 2015
Hizi tuzo ndio ulikua mwaka wake wa mwisho kufanyika hatuja zisikia tena, but all we can say hii red carpet ya hizi tuzo ilikuwa ni moja kati ya red carpet bora ambazo tunazikumbuka, kuna watu walio haribu lakini kwa wale waliopendeza walipendeza haswa. Wengi walipania,…
Reviewing Mr Blue’s Video – Mapozi
Ikiwa tunaona kwa sasa wanamuziki wana jitahidi kufanya video’s nzuri za miziki yao lakini pia kujaribu kuvaa vizuri na kushirikisha stylist, tumeona video ya Mimi Mars – Sitamani ilivyo kuwa nzuri well dressed na ipo clear, tumeona kwanini tusikumbuke zile za zamani, leo katika throw…
Genevieve Nnaji Red Carpet Evolution
Genevieve Nnaji sio tu ni muigizaji mzuri lakini pia ni moja ya stylish actress kutoka Nigeria, kitu kimoja tunapenda kutoka kwake ni kwamba she is unpredictable, huwezi jua leo atavaa nini her styles & looks changes every day, kuanzia kwenye red carpet, harusini na hata…
Throwing Back With Asya Khamsin 2014 SFW Collection
Tukiwa tunaongelea wakongwe au mama katika mitindo basi huwezi kumuacha bi Asya Idarous Khamsin Asya amekua kwenye ulimwengu wa mitindo kwa zaidi ya miaka kumi, Asya ni mhasisi wa Tamasha la Lady In Red ambalo mwaka huu linafanyika kesho (9.12.2018) na katika onyesho hili Asya ana…
Miss Tanzania 2007 Richa Adhia Akitukumbusha Enzi Zake
Ukiongelea ma Miss ambao walitumikia muda wao na kupotea basi huwezi kuacha kumtaja Richa Adhia, Richa alishinda miss Tanzania 2007 na kwenda kushiriki katika Miss World China Ukiachana na kuwa model na event organizer Richa alisha wahi kujaribu kuigiza na ameigiza katika hizi movie mbili 2009-Full…
Flaviana Matata Red Carpets Looks From Way Back
Ukiongelea list ya watu walio na wanao endele kuipeperusha vizuri bendera ya Tanzania katika Mitindo huwezi kuach kumtaja Flaviana Matata, alianza kujulikana mwaka 2007 aliposhinda katika shindano la Miss Universe, na akaenda kutuwakilisha katika Miss Universe World mwaka huohuo alifanikiwa kuingia katika 15 ya semifinalist…
Throwback Na Miss Redds Tanzania 2012 Lisa Jensen
Lisa Jensen ni mwanamitindo na mwigizaji kutoka nchini Tanzania. Lisa alipata kushiriki katika shindano la Miss Tanzania 2006 na kuibuka mshindi wa tatu huku sehemu ya kwanza ikinyakuliwa na Wema Sepetu na ya pili Jokate Mwegelo. Katika upande wa filamu alianza kutambulika sana baada ya kucheza katika filamu Fake Pastors ya mwaka 2007 akiwa na Jokate, Vincent Kigosi na Adam Kuambiana….
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…