SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

TBT RED CARPET NA WEMA SEPETU 

Akiwa ni mwanamitindo pia ni fashionista Wema huwa hatakagi utani anapo kuwa red carpet, ana weza kuvaa nguo za bei ghali ili tu apendeze ” well money aint a thing’ bora utumie hela ulinde heshima kuliko kuvaa nguo za bei rahisi kesho uwe gumzo mitandaoni….

Mitindo

#TBT NA ALIKIBA 

Ali Saleh Kiba au Alikiba kama anavyo julikana na wengi, ni mwanamuziki ambae ame zaliwa mwaka  1986 , Ali kiba ana julikana kutokana na Hit songs zake kama “Mwana”, “Chekecha Cheketua” “Cinderella”, “Nakshi Nakshi”, “Usiniseme”, “Dushelele”, “Mapenzi YanaRun Dunia”, “Macmuga” na nyingine nyingi, leo hatuongelei muziki…

Mitindo

#TBT NA JUDITH WAMBURA (LADY JAY DEE) 

Judith Daines Wambura Mbibo A.K.A Komando, Anaconda (lady jay dee) ni mwanamuziki kutoka Tanzania ambae hasa huimba nyimbo aina ya R&B/Zouk/Kwaito, Lady Jay Dee kama Kioo cha jamii huwa pia ana angaliwa katika mavazi na staili zake. Kama ambavyo ipo kwa wasichana wengi Lady jay…

Mitindo

#TBT NA MH SHYROSE BHANJI 

Shyrose Bhanji ni mwanaharakati ambae pia alipata bahati ya kuchaguliwa katika Bunge la Africa Mashariki, Shyrose ni Africast (nusu m-Africa nusu muhindi). Shyrose ukiachana na kazi zake za Bungeni akiwa nje ya Bunge ni mwana mama anae penda mitindo na kazi yake haimzuii kuto kuvaa…

Mitindo

TBT NA SARAH KAISI (SHAA) 

Sarah Kaisi ni mwanamuziki wa kizazi kipya kutoka Tanzania, Sarah amezaliwa mwaka 1985. Sarah alianza kujulikana mwaka 2004 ambapo alitoka na group linaloitwa Wakilisha likiwa na wana kikundi watatu, japo kikundi kilivunjika mbeleni lakini Sarah hakuacha kuendelea na kipaji chake cha uimbaji/muziki. Sarah ambae jina…

Mitindo

#TBT NA TEDDY KALONGA 

Teddy kalonga ni mwanamitindo, beauty pageant coach na pia ni muigizaji ambae amezaliwa na kukulia Tanzania, katika miaka ya 2000 Teddy alikua katika nafasi nzuri ya kujulikana Tanzania kutokana na kazi zake za uanamitindo, mtangazaji na pia alianza kujikita na muziki, lakini Teddy alihama nchi…

Mitindo

#TBT MKUMBUKE FIDERINE IRANGA 

Kwa vizazi vya sasa hivi wengi mtakua mnawajua wakina Nelly Kamwelu, Jokate Mwegelo, Wema Sepetu na wengine wanao sikika hivi sasa, lakini kwa wale walio kuwepo miaka ya 90 mpaka 2000 watakua wana wakumbuka watu kama Flaviana Matata, Hapiness Magesse na wakina Fiderine Iranga ambae…

Mitindo

TBT NA MISS TANZANIA 2004 FARAJA K. NYALANDU 

Faraja Kotta (Faraja Nyarandu),Miss Tanzania 2004,ambaye alituwakilisha mwaka huo katika Miss World iliyofanyikia huko huko Sanya-China linapofanyikia shindano la mwaka huo tarehe 1 December . Faraja Kotta alizaliwa tarehe 6 Mei 1985 jijini Dar-es-salaam. Baada ya kutumikia taj taji lake alijiunga na Chuo Kikuu Cha…

Mitindo

FASHION REVOLUTION: TBT NA AY MZEE WA COMMERCIAL 

Tunamjua Ay A.K.A Mzee wa Commercial kama mwanamuziki nguli wa bongo flava kutoka Tanzania ambae chat yake katika muziki huwaga haishuki ana badilika badilika kama kinyonga. Ay au Ambwene Yesaya ni mtu maarufu sana na ukiwa maarufu hatuto kuangalia kama mwanamuziki tu bali hata appearance/muonekeno…

Mitindo

#TBT MAPINDUZI YA MITINDO NA PENNY MUNGILWA 

anaitwa Peniel Mungilwa au vjpenny kama kama mwenyewe ambavyo ana penda kujiita, ni Tv personality kutoka Tanzania ambae kwa namna moja au nyingine amejizoelea umaarufu mkubwa. Penny kwa kazi yake ni lazima uwe unajua kuvaa na kupendeza sababu hio ime mfanya Penny kuwa kama mtu…