SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

ALLY REHMTULLAH ALIPO TOKA NA ALIPO FIKA 

Ally Rehmtullah si jina geni masikio mwa wengi, ni mbunifu kutoka Tanzania ambae amezalia january 18 1986, Ally (29) baada ya kumaliza masomo yake huko United States alirudi Tanzania na kuanza kazi kama mwalimu wa graphic arts, lakini hakukaa sana aliamua kujikita kwenye ubunifu. mwaka…

Mitindo

ALLY KHERY,ALLY HASSAN, DAXX CRUZ au MR FRESH 

Anamajina mengi mno unaweza kumuita Ally Khery,Ally Hassan,Ally DAXX Hassan lakini wengi tunamjua kama Daxx Cruz ni mwanamitindo wa kiume kutoka Tanzania ambae ana ipeperusha bendera yetu vizuri zaidi. Dax ameanza kuonekana kwenye majukwaa muda mrefu kwa Tanzania amesha wahi kuonekana katika jukwaa la Swahili…

Mitindo

KUTOKA JACQUELINE,K-LYINN MPAKA J.N.MENGI 

Anaitwa Jacqueline Ntuyabaliwe alianza kujulikana mwaka 2000 baada ya kutwaa taji lake la Miss Tanzania mwaka huo. Baada ya kulivua Taji hilo tulimsikia tena Jacquieline lakini wakati huu alisikika kama K-Lyinn na hakua miss tena bali mwanamuziki hio ilikua mwaka 2003, kwa inavyo semekana Klyinn…

Mitindo

ZAMANI MPAKA SASA (HAPPINESS MILLEN MAGESE) 

MILLEN MAGESE (HAPPINESS MAGESE) Ni miss Tanzania 2001 ambae alituwakilisha miss world mwaka huo huo 2001, baada ya kumaliza kazi zake za kuitumikia Tanzania alihamia Afrika ya kusini kuendeleza karama yake ya Uanamitindo huko alijulikana kama Millen Magesse. Ni mwanamitindo wa kwanza kutoka Tanzania kufanya…

ThrowBack

MKUMBUKE MBUNIFU WA KWANZA 

  Zelda Wynn Valde Ni mbunifu wa kwanza mwenye asili ya Kiafrica (African-American), Mwanamama huyu alizaliwa 28/6/1905 lakini kwa bahati mbaya alifariki 26/9/2001. Zelda alifungua duka lake mwenyewe broadway katika mji wa New York ambalo lilikua ni duka la kwanza katika eneo hilo kumilikiwa na…