Nike Air Force 1 High Inavyo Trend Kwa Sasa
Kiatu ni moja kati ya kiungo muhimu kabisa katika kukamilisha muonekano wa mavazi yako, na kuonyesha kwamba hiki kiungo ni muhimu basi kama ukikosea ukakipunguza muonekano wako mzima unaharibika. Moja kati ya viatu vinavyopendwa Duniani ni Nike Air Force kutoka kwa Brand ya Nike, viatu…
Bottega Veneta Kuirudisha Square Shoes Style
Wenzetu huwa wanafikiria sana hukusu brand zao, pale brand inapoonekana kuisha mashiko wanajaribu kuajiri creative director wapya na kuirudisha brand yao kwenye hadhi fulani. Mfano mzuri ni hii fashion brand iitwayo Bottega Veneta ( yes inawezekana hata kuisikia hujawahi maana ilishapotea kabisa), lakini imerudi kwa…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…