Beauty Looks Spotted Last Week
One thing ambayo watu maarufu kwasasa huwezi kuwakuta wakiwa hawaja pendezesha nyuso zao, they always bring the A game when it comes to makeup and skincare, well week iliyopita tumewaona Irene Uwoya, Wema Sepetu, Tessy Chocolate, Jihan Dimack, Meena Ally na Batuli wakiwa kwenye makeup…
Jali Ngozi Kwa Kufanya Haya
Wengi hudhani kujali ngozi ni kupaka mafuta au kutumia skin careΒ lakini kumbe kuna vitu vichache ambavyo tuna visahau kufanya na ni muhimu sana, vitu hivyo ni kama; Badilisha foronya za mito unayolalia. Tunapo lalia foronya kuna bacteria wengi ambao tunawaacha hivyo hata kama ukiwa…
Jacqueline Mengi Flaunting Her Stretch Marks
Wakati mara nyingi huwa tunaamini watu maarufu wako perfect na wengine huwa tunaenda mbali zaidi na kuwauliza wanatumia nini kuondoa stretch marks mwilini huku tukisahau most of the time wanatumia proffesional photographer au app za kuondoa flaws. Jacqueline Mengi ameamua kuwa real na kuonyesha Dunia…
Beauty Looks From Last Week
Kama kuna kitu ambacho watu maarufu hutulia mkazo ni mionekano yao, as a star you need to bring your A game off & on the screen, ikiwa una watu wanaokufuatilia basi unahitajika kuonekana vizuri kuanzia mavazi mpaka makeup zako. Lakini si tu makeup bali pia…
Anti Age Skin Care Tips
Hakuna anaetaka kuzeeka wengi wetu tunapenda kuonekana vijana daima, tukiwaona watu maarufu ambao wana umri mkubwa halafu ngozi zao bado nzuri hazijajikunja huwa tunawaza wanafanya nini au wamewezaje kuwa na ngozi nzuri vile, well leo tunakuibia siri ya wao wanawezaje, Well fuatisha hizo tips na…
Vipodozi Ghali Vya Ngozi Haimaanishi Ufanisi Mzuri
Kwasasa kama kuna industry inayoingiza pesa ukiachana na chakula basi ni skincare, sio kwa wakaka sio kwa wadada wote tunapenda kuwa na mionekano mizuri ya ngozi zetu kila mmoja anatamani apate kipodozi ambacho kitafanya ngozi yake iwe nzuri kabisa. Kutokana na hili basi brand nyingi…
Faida Za Iced Water Facial
Inawezekana umeshawahi kuona hii iced water facial kwenye mitandao ya kijamii, ni urembo wa ngozi ambao una trend sana sasa hivi unaweza ukawa umeiona na ukajiuliza je inafaida gani katika ngozi leo tupo hapa kukuelezea; Inafanya ngozi kuwa ngumu Umri unavyozidi kwenda ndivyo ngozi zetu…
Makeup Looks Spotted Last Week
Last week kulikuwa na mengi kuanzia birthday za watu maarufu mbalimbali, mitoko ya hapa na pale na wengine waliamua tu kujipendezesha. Well tumeona kwasasa watu maarufu wengi hawapost full looks lakini wanahakikisha kupamba page’s zao katika mitandao ya kijamii kwa ku-post beauty looks zao. Week…
Ni Muda Gani Usubiri Kupaka Makeup Baada Ya Kupaka Skin Care?
Kuwa na skin care routine is no joke, hasa pale ambapo ni mfanyakazi unahitaji kuamka mapema na hata kama umechoka usiku inabidi usipande kitandani mpaka uhakikishe umepaka night skincare yako. Sasa kuna kile kipengele cha asubuhi unataka kuwahi kwenye mihangaiko yako na unatakiwa upake skincare…
Beauty Looks From Last Week
Kuna wakati watu maarufu wana serve beauty looks mpaka unatamani wasivute, na kuna wakati unaona makeup kwa mtu maarufu unajiuliza hii imefanywa bure au kulikuwa na some sort of discount? Well tuseme kwasasa tunaona wengi wanajitahidi na looks zao, makeup artist wanajitahidi kujua rangi na…
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda se⦠https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…