You Don’t Need A 7/10 Step Skincare Routine To Have A Heathy Skin
We don’t know who needs to hear this but there you have it,huitaji kuwa na 7 to 10 skin care routine kuwa na ngozi nzuri na yenye afya. Ikiwa kwasasa skincare routine ndio zipo kwenye trend kuna baadhi ya vitu vinaibuka na kusababisha wengi wetu…
Davido & Ommy Dimpoz Wearing The Van Cleef And Arpels Bracelets
Kama ni mmoja ya wapenda accessories basi utakuwa umeshakutana nazo nyingi sasa hivi hizi bracelets au mikufu na pete zina-trend sana. Tunakutana nazo kwenye maduka mbalimbali huku bei zake zikiwa za kuridhisha lakini Je unajua kwamba hizi accerries original yake ni kutoka katika brand kubwa…
Do & Dont’s Of Wearing Perfume At Work
Perfume can be the cherry on top when it comes to represent ourselves hii ni kama itatumika vyema lakini kama itatumika vibaya unaweza kuwa labelled kama perfume offender, sote tunapenda kunukia vyema popote tulipo lakini kuna sehemu zinafaa kuwa na perfume za aina fulani mfano…
Auntie Ezekiel Anahitaji Kuiga Mfano Huu Wa Wema Sepetu
Huwa tunafurahi sana kuona watu maarufu wanajiingiza kwenye biashara, ni kitu cha maendeleo ambacho kinafaa kupongezwa, na kama watu maarufu huwa tunaamini kwamba wanafanya vitu vyao wakiwa na washauri na kujua nini kinafaa kufanyika. Ikiwa watu maarufu wengi sasa wanajiingiza na biashara ya vipodozi soko…
Fanya Haya Kulipa Weaving Lako Muonekano Mpya
Hakuna kitu kibaya kama weaving lililo choka, yani ni bora kusuka vitunguu au twende kilioni, na kibaya Zaidi kama hilo weaving umenunua bei ghali basi roho itakuuma mpaka basi, hizi ni namna za kufanya weaving lako lionekane jipya hata kama umesukia mara mia lakini hii…
Nini Cha Kufanya Na Vipodozi Usivyovitumia
Kila ukiangalia dressing table yako unakutana na skincare zimejazana lakini nusu yake huzitumii, inawezekana ulikuwa unaanza journey ya skincare na hukujua kipi kinakufaa na kipi hakikufuai ukanunua na kugundua havikupendi ukaacha kutumia. Inawezekana vilikuwa vinakupenda lakini uka-out grow na hauvitumii tena,inawezekana zilikuwa ni zawadi etc….
5 Body Parts Yo Should Clean This Weekend
Weekend ni ule muda wa kujijali (selfcare) na ni kawaida yetu kukumbuka kujifanyia usafi sehemu mbalimbali za miili ikiwa ni kutengeneza nywele, kucha, skin care, kufua mavazi etc. Lakini kuna sehemu kadhaa za mwili huwa tunasahau kusafisha na tupo hapa kukumbusha sehemu hizo na kwanini…
Namna Ya Kupunguza Weusi Kwapani
Kuna vitu ambavyo vinaweza kukufanya uwe na insecurities lakini kumbe ni vya kawaida, moja kati ya vitu hivyo ni kuwa na weusi kwapani, weusi kwapani unatokana na vitu vingi, kama kutumia wembe wakati wa kunyoa, msuguano wakati kwapa limefunikwa, diet mbaya lakini pia kuna part…
Fahamu Zaidi Kuhusu Retinol
Kama ni mpenzi wa urembo utakuwa umeshakutana nayo au kusikia kuhusu retinol, Retinol inasifika kwa kuondoa mikunjo na kufanya ngozi irudi ujanan, well leo tunakuelezea kwa undani kuhusu retinol ni nini, inafanyaje kazi? na mengineyo. Retinol ni nini? Umri Gani Unatakiwa Kuanza Kutumia Retinol? Inatumika…
3 Hairstyle’s That Makes You Look Clean & Expensive
Unataka ku-upgrade muonekano wako? Basi kuwa na hair style nzuri na je unataka muonekano wako mzuri uonekane cheap? Basi jaribu kuwa na hair style mbaya. Nywele ni kitu muhimu sana katika muonekano wako kina nafasi kubwa ya kuuharibu na kuufanya uonekane mzuri. Leo tunakupa aina…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…