IsnTree Green Tea Toner Review
Face toner is basically an in-between skin-care step, baada ya kuosha uso wako kabla ya kupaka mafuta (moisturizer) step inayofuata ndio huitwa facial toning, zimetengenezwa kwa ajili ya ku-re-balance skin baada ya kuosha uso wako kwa kutumia sabuni kali au cleanser, yaani hii huifanya ngozi…
4 Tips To Level Up Your Hygienne
Hakuna kitu kinaudhi au kukera wengine kama uchafu, iwe kinywa, makwapa au hata mazingira machafu yanakera. Inawezekana pia una jitahidi sana kujisafisha lakini hufikii lengo unalolitaka leo tunakuletea Tips ambazo zinaweza kukusaidia ku-level up hygienne game yako. Sugua Makwapa Mara Mbili Kama ambavyo inashauriwa ukiwa…
Acha Kuhifadhi Perfume Sehemu Hizi Inapoteza Ubora
Inawezekana umenunua unyunyu wako bei ghali kabisa na unaupenda sana lakini kadri siku zinavyozidi kwenda ndivyo ubora wa unyunyu wako unapungua na kukufanya ujiulize kwanini inatokea hivi? Inawezekana ukabadilika harufu sio yote lakini isiwe kama mwanzo au kutokukaa muda mrefu katika mwili kama zamani. Utajiuliza…
COSRX Advanced Snail 92 All in One Cream Review
Moja kati ya product ambazo zina hype sana huko mtandaoni iwe tiktok, instagram etc ni hii COSRX Advanced Snail 92 All in One, beauty influencers wengi wameonekana kuiongelea na kupendekeza wengine watumie, leo tupo hapa kukupa review yake. Kwanza abisa unahitaji kujua hii product inatengenezwa…
Faida Za Ku Dry Brush Ngozi Yako
Katika pitapita zetu tulikutana na post ya super model Flaviana Matata ambapo alipost video ya selfcare akaweka na caption isemayo “It is that time of the month and no matter how I feel , I still take care of myself; Lit my Lavy Candle, Dry…
Mambo Manne (4) Kuhusu Urembo Unapaswa Kujua
Sote tunapenda kuwa warembo, beautiful skin, nice hair (long or short), nails nakadhalika na hii hutupelekea kuwa tuntafuta bidhaa ambazo zitatufanya tuonekano warembo lakini kuna baadhi ya mamabo ambayo huwa tunasahau kwamba yapo na yanaweza kutuletea madhara, leo our girl @style.with.mimi anakukumbusha baadhi ya vitu…
Namna Gani Manukato Yanaweza Kukutambulisha
Manukato yanauwezo wa kipekee wa kuweka kumbukumbu, kuongeza kujiamini na kuamsha hisia za watu, ingawa watu wengi hufurahia kujumuisha manukato katika shughuli zao za kila siku ila baadhi wanapenda kutumia manukato kulingana na shughuli maalumu. Leo nakupa vidokezo muhimu na mbinu za jinsi ya kutumia…
Je Korean Skincare Zinaweza Kusababisha Uharibifu Wa Ngozi (Breakout)
Kwasasa skincare products ambazo zinasifika kwa uwezo wake wa kufanya ngozi kuwa nzuri na kuondoa breakout ni vipodozi vya kikorea, ambavyo inasemekana vipodozi hivi hutengenezwa asilimia kubwa na vitu vya asili na vitu ambavyo havina madhara lakini pia vinasifika kwa kuleta unywevu katika ngozi. Japo…
Namna Ya Kutambulisha Kipodozi Kipya Cha Ngozi Katika Ngozi Yako
Inawezekana una skincare routine lakini unataka kuongezea kipodozi kingine au pia inawezekana ni mara ya kwanza kuwa na skincare routine je unaanzaje kutambulisha kipodozi hiko kipya katika ngozi yako? Katika kila kipodozi kuna ingredients ambazo zinaweza ku-react vyema au vibaya katika ngozi yako inabidi uwe…
Vitu Unavyoweza Kufanya Weekend Vikasababisha Skin Breakout
Umeshawahi kuwa na ngozi nzuri week nzima kisha unaanza jumatatu yako na ngozi ambayo huelewi? unaanza kujiuliza hizi rashes nimetoa wapi au mbona ngozi yangu imeharibika ghafla? Hii hutokana na mambo kadhaa ambayo tunayafanya weekend na yanaweza kuwa chanzo cha skin breakout Tunajua kutokupata usingizi…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…