SUBSCRIBE NOW

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Hair, Urembo

GWEN STEFANI NA MITINDO YA NYWELE ZAKE 

Gwen stefani ni mwanamuziki, mtunzi, muigizaji lakini pia ni mbunifu kutoka bara la America, tukiachana na hayo yote Gwen amekua akijulikana kutokana na mitindo yake ya nywele mbali mbali lakini 2015 imekua tofauti kidogo ni jinsi ambavyo Gwen ana paka rangi nywele zake. Zinavutia na…

Urembo

5MAKE UP ARTIST WA KUWAFOLLOW INSTAGRAM 

Hakuna mwenye kutaka kupakwa make up vibaya, hawa ndio wataalam watano wa make up ambao wana chipukia hutakii kuacha kuwafollow     Gracie au @charie_mals ni make up artist ambae pia ana safiri kufuata wateja walipo   Salma au @sallythemua pia nae ana wafuata wateja…

Urembo

MAKE-UP INA AINISHA UZURI WA MWANAMKE 

Ime kuwa mara nyingi wanaume wame sikika wakisema “una jifanya mzuri wakati ni make-up zimekusaidia” Hii ime sababisha maswali vichwani mwetu Je ni kweli make-up ina fanya wanawake wawe wazuri? Haikua rahisi kupata jawabu kwa sababu fikra zilikua zina gongana kuna wanawake wakipaka make-up wana…

Urembo

JINSI YA KU SHAPE NYUSI BILA KUNYOA 

Ime zoeleka ukitaka kuwa na nyusi maridadi ni lazima uzichonge kwa wembe au nyuzi lakini si wengi ambao wana penda njia hizi, hasa kwa sasa ambapo watu wana penda kuwa naturally. Lakini naturally hii nayo isivuke mpaka huwezi kukaa na nyuzi hovyo hovyo kisa unapenda…