SUBSCRIBE NOW

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Urembo

WANAWAKE WA KISASA NA MAKE UP 

Make Up ni urembo unakuja kwa kasi sana duniani, kila mtu ana taka kujua kupaka make up, wengine wana taka kujua kwa ajili ya matumizi ya binafsi na wengine wana taka kwa ajili ya biashara. Ni kawaida kwa kila mwanamke kutaka kuonekana mrembo kuliko mwingine…

Mitindo, Urembo

WEMA AZINDUA KISS LIPSTICK 

Jana katika Birthday Party yake, Wema Sepetu alizindua Lipstic alizo lipa jina KISS, Lipstick hizi ni bidhaa zake mwenyewe Wema. huwa ina semwa tafuta katika miaka ya 20-30 ili ule matunda katika miaka yako ya 40, hiki ndicho anacho kifanya wema sasa. Katika Kurasa ya…

Mitindo, Urembo

DRAKE APATA LIPSTICK KUTOKA TOM FORD 

Neno haki sawa linaanza kutumia kwanini wanawake wawe na vipodozi na wanaume wasiwe navyo? kwa kuona hilo Tomford wametoa Beauty Collection kwa ajili ya wanaume na safari hii wametoa Lipstic iitwayo Drake. Je wanawake mnampenda Drake mtaruhusu wanaume zenu wapake lipstick hio? na wanaume je…

Skin Care, Urembo

NDIZI NA MCHANGO WAKE KATIKA UREMBO 

TOFAUTI na matunda mengine, ndizi zinafaida kubwa sana katika mwili wa binadamu. Kwa mujibu wa wataalamu wa lishe, ndizi zina virutubisho vya aina mbalimbali kama vile, protini, mafuta, kalishiamu, wanga, fosiforas, madini ya chuma, vitamin A,B,C na maji. Ndizi zina faida zipi katika urembo? Chanzo…

Dondoo, Urembo

NAMNA YA KUPAKA DARK LIPSTICK 

Ikiwa ni mtindo ambao umeingia sana wakati huu, kila mtu ana penda kupaka lipstick za giza au dark lipstick, tumeona ni bora kutoa dondoo chache za vipi unaweza kuipaka ki ubora zaidi kama professional MAHITAJI sukari na asali lipstick ya giza (dark lipstic rangi uipendayo)…

Urembo

PATA SELFIE MATATA KWA KUTUMIA HIVI VIPODOZI 

Umechoshwa na utumiaji wa Filter wakati au ukisha piga picha hili kuifanya picha yako iwe nzuri zaidi, hivi ni vipodozi ambavyo vinaweza kukusaidia kupata picha nzuri isiyo hitaji kupiga msasa na wewe uandike filter for what? au filter ndo nani? MARC JACOBS inakuja katika rangi…