SUBSCRIBE NOW

Trending News

By using our website, you agree to the use of our cookies.
Urembo

TUMIA VASELINE KUKUZA NYUSI/KOPE 

Imekua tabia ya wanawake wengi kuweka kope za bandia lakini wakati mwingine hizi kope huleta madhara,macho kupofuka au kope kugoma kutoka. Leo tunawaletea njia rahisi ya kukuza nyusi/kope zako, haihitaji fedha nyingi kwa sababu vitu vinavyo tumika wengi tunavyo na pia haina madhara. Faida yake…

Urembo

PRADA NA GOLD LIPSTICK 

Tumeona Mitindo mingi katika wiki hii, mingi ya kushangaza lakini huu unaonekana utapendwa na ku kiki zaidi miezi ijayo. Katika Runway ya hivi karibuni Prada walionyesha nguo zao huku wana mitindo wake wamevalia Lipstic za Gold. Je wewe utavaa na umeonaje mtindo huu?

Urembo

RANGI ZA KUCHA 8 ZINAZO PENDWA 

Kumuuliza mtu anaependa rangi za kucha ni rangi ipi anayo ipenda zaidi ni kama kumuuliza mama ni mtoto yupi anae mpenda zaidi, ni ngumu kuchagua lakini atakuepo mmoja ambae ndio chaguo lake. Hawa ni baadhi ya watu maarufu wanao fanya kazi na makampuni ya rangi…

Urembo

PENDA KUCHA ZAKO 

Wanawake na hata Wanaume wanashauriwa kuzingatia usafi wa kucha zao, kwani kucha inapokuwa safi inamfanya muhusika kuwa na mvuto na mwenye kupendeza. Wanawake wengi na hata Wanaume pia wanaume hupenda kutunza kucha zao, kwani hujikuta wakikutana na vikwazo vya kushindwa kukabiliana na matatizo ya kukatika…

Urembo

SANAA YA AFRIKA YAJIKUZA YENYEWE 

Leeni Ojaniemi ni mwanadada kutoka nchi za Magharibi ambae alikuja Africa kwa lengo la kutokomeza Malaria, ana sema Africa ime kua kama nyumbani kwake na anataka kusaidia. Amependa ubunifu wa Africa “Nimebuni bangili kutokana na muongozo kutoka kwa wasanii wa nchi hii (Ghana), na heshima…

Dondoo, Skin Care, Urembo

KAROTI KWA NGOZI BOWRA 

Karoti sio zao geni, najua tulio wengi tunalifahamu kama kiungo cha mboga. Kwetu Tanzania tumezoea kutumia karoti katika kuunga mchuzi na wachache hutafuna kama tunda. Lakini kinyume na matumizi hayo, ulaji wa karoti una faida nyingi katika urembo na mwili kwa ujumla, Leo nataka tuangalie…

Hair, Urembo

KYLIE JENNER NA MITINDO YA NYWELE 

Anaitwa Kylie Jenner mdogo wa mwisho wa The Kardashian, juzi tu ame fikisha miaka 18′, Kylie amepata umaarufu kupitia dada zake lakini pia mitindo yake ya nywele na midomo. Kylie ambae ni mpenzi wa mwanamuziki Tyga amekua hapendi kutulia na nywele za aina moja mara…

Urembo

SAA MPYA ZA APPLE KUUZWA MIL3 

Siku ya jumatano wiki iliopita Kampuni ya Apple ilitangaza kuungana na Hermès kutengeneza saa za ngozi, Saa hizi zitaingia madukani mwezi ujao (10) zitapatikana katika maduka ya Apple na Hermès, zina uzwa bei kuanzia $1,250 ambapo ni Tsh 2’500’000 hadi $1500 sawa na 3’000’000 za kibongo.

Urembo

DOLCE GABANA KULETA MKOMBOZI WA NGOZI 

Dolce Gabana tunaifahamu kama ni kampuni ya nguo lakini pia ina uhusiana na vipodozi vipo vingi ila kwa sasa kampuni hii ya vipodozi ime leta kipodozi kipya kinacho saidia  huduma ya ngozi, kipodozi hiki kinaitwa aurealux serum ambayo ina saidia kuongeza mchakato wa ngozi yako…