SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Urembo

Tips Za Kupata Ngozi Nzuri 

Kupata ngozi nzuri yenye kuridhisha ni janga, na hii hutokana na maswala mbalimbali kama tunavyokula, ukuaji, tunavyovitumia na mengine mengi. Lakini unaweza kupata ngozi nzuri endapo tu utajaribu kufanya mambo haya manne; Usitumie Bidhaa Za Ngozi Nyingi Wengi wetu tuna hii tabia unatumia kipozi hiki…

Urembo

6 Makeup Looks From Last Week 

Juma lililopita lilikuwa na mengi, sherehe, photoshoots, engagement etc. Na kama ilivokuwa kawaida kukiwa na matukio basi sisi huwa tunaangalia namna ambavyo watu maarufu wamehudhuria je mavazi yao yalikuwa on point? Je makeup na nywele zilitulia? Na tuna wrap up na kuwaletea hapa maoni yetu….

Urembo

Ginger Orange Curly Hairstyle Inavyo Trend Kwasasa 

Kuna mitindo mbalimbali ya nywele ina trend kwasasa, lakini ambao tumeuona unashika kasi ni hii wig ya rangi ya ginger orange. Tumewashuhudia watu maarufu mbalimbali wakiwekwa style hii hatujajua imetokea bahati mbaya, wanaigiana au kuna brand inatoa nywele hizi kwaajili ya kutangaziwa. Anyways tumewaona watu…

Urembo

Pixie Cut Hair Style Is Having A Moment 

Pixie cut hair style ni moja ya style ya nywele ambayo ni timeless na ni rahisi kui-maintain, style hii ya nywele inaweza kuwekwa na mwenye umri yoyote na ni moja ya style ambayo inakufanya u-standout. Well kwasasa hapa Nchini kwetu tumeona inaanza kushika trend ambapo…

Urembo

Faida Za Kutumia Sabuni Ya Mchele Katika Ngozi 

Inawezekana unakula wali kilasiku lakini inawezekana hujui kwamba mchele unaotumika kupikia wali unaweza kutengeneza sabuni na zinafaida mbalimbali katika ngozi, Yes kuna faida mbalimbali za urembo katika mchele kuanzia kwenye nywele mpaka ngozi. Sabuni zilizotengenezwa kwakutumia mchele zinasaidia kukupa softness katika ngozi yako, kung’arisha ngozi…

Urembo

Namna Ya Kujali Ngozi Yako Ukiwa Na Miaka 30 

Mchakato wa ngozi kuanza kuzeeka huanzia ukiwa na miaka 20, japo katika miaka hii huwa haitokei sana. Lakini tunapofikia kwenye miaka 30 kwenda mbele kunakuwa na mabadiliko makubwa kama cell turnover slows down na kufanya ngozi zetu kuwa rahisi kupata chunusi, hyperpigmentation, milia, & uneven…

Urembo

Try These Celeb Inspired Eid Makeup Looks 

Sikukuu ya Eid inakaribia na inawezekana umeshapata vazi lako au bado unatafuta, mara nyingi huwa tunajiandaa kimavazi na vyakula na tunasahau kuhusu looks zetu usoni, kutona na kufunga kwa mwezi mzima, kuchoka na mapishi ya hapa na pale sikukuu hii inaweza kukuta ngozi yako ikiwa…

Urembo

Ommy Dimpoz Must Be Smelling Rich 

Mwanamuziki Ommy Dimpoz ametupia video kwenye mtandao wa kijamii ambayo inaonyesha perfume’s zake pamoja na mavazi ambayo anavaa sikuhio ni kama a day in a life video. Katika video hio tumeona vingi lakini kilichotuvutia zaidi ni hii perfume collection yake ambapo kuna Tom Ford na…