MANUKATO YA MAUA YA JASMINE
MAHITAJI Vodka – 2 vijiko viwili Maji ya Maua ya Machungwa – 1 kijiko Mchanganyiko wa Jasmine Matone 30 ya maua ya Jasmine Matone 5 ya maua ya Jasmine Matone 5 ya lavender MAELEKEZO Changanya mchanganyiko wako wa matone ya maua ya Jasmine,matone ya vanilla,…
Rihanna Kuachia Vipodozi Vyake
Rihanna wengi tunamjua kutokana na kazi yake Muziki, lakini pia amekua chachu katika ulimwengu wa Mitindo na Urembo. Akiwa tayari ameshafanya kazi na makampuni makubwa ya vipodozi kama MAC, Haishangazi hata kidogo kuona sasa hivi anataka kutoa vipodozi vyake mwenyewe. Katika mahojiano ya hivi karibuni na Refinery29, Rihanna…
MAZOEZI YA YOGA YA USO
Ukosefu wa mazoezi ya viungo vya mwili husababisha kusinyaa kwa sura na kupatawa na matatizo mara kwa mara Yoga inaboresha sura na kuipa akili yako hali utulivu. Yoga – ni uhusiano wa kimwili na kiroho kwa hatua ambayo hutatua matatizo mara moja tu, wengi hudhani…
HERENI ZA CHUPIO
Katika hiki kipengele cha fanya mwenyewe tuna waletea vitu ambavyo unaweza kufanya mwenyewe kirahisi na nafuu, ni vitu ambavyo unaweza kufanya ukavaa au kugeuza biashara. kwa sasa vitu ambavyo vinapendwa zaidi ni vitu ambavyo vya kipekee, watu wengi hawapendi kuvaa vitu ambavyo mwingine nae anacho,…
KIPODOZI KIPI KINAFAA KUHIFADHIWA KATIKA JOKOFU
Wengi wetu tume kua tukihifadhi vipodozi vyetu katika majokofu (friji) ili visiharibike bila kujua kuna faida na hasara za kufanya hivyo, si kila kipodozi kina faa kuwekwa katika jokofu vingine ukiviweka una haribu ubora wake. Vipodozi ambavyo vimetengenezwa kwa mafuta na siagi vina nafasi kubwa…
HUITAJI KUFANYA OPERESHENI KUPATA MIDOMO YA KYLIE JENNER
Kylie Jenner Ni mdogo wa mwisho wa kina Kim Kardashian kwa hii miezi michache amekua gumzo kubwa mitandaoni kwa kufanyia midomo yake operesheni na kua na mvuto Zaidi kiasi ambacho kuvutia mashabiki wake nao kufanya operesheni na wengine kujiuliza Je Unaweza kupata midomo yake bila…
MITINDO YA NYWELE KATIKA MAJIRA YA KIANGAZI
Kiangazi ni kipindi/msimu wa joto katika mwaka na ndio huu ambao umeanza sasa. kipindi hiki huwa tunapata tabu na nywele jinsi gani tuzitunze, tuziweke kwa namna ipi ili zisitusumbue na kutuongezea joto zaidi. kwa sababu ni msimu wa joto basi mitindo mingi huwa ambayo kama…
VIPODOZI GANI UVAE KATIKA MSIMU HUU WA BARIDI (KIPUPWE)
Wanawake wanapenda kuonekana warembo wakati wote, pasi kuzingatia ni majira ya mwaka yaani masika, kiangazi, umande, ama kipupwe. Msimu huu ni wakipupwe katika maeneo mengi ya dunia na hata kwetu tanzania, ingawa si sana kwa wakazi wa jiji la dar es salaam, lakin kwa walio…
MAANDALIZI YA EID KWA HENNA NA BANGILI
Kumi la mwisho limeingia, shamla shamla za Eid zimeanza. Wafanya Biashara Wameanza Kuleta Bidhaa Kutoka Sehemu Mbalimbali Ndani au Nje Ya Nchi, Vitu Vimepanda Bei Kwa Kua Kila Mtu Anataka Kusherehekea Eid Kinamna Yake. Kwa Upande Wa Kina Mama Na Kina Dada Huu Ndio Wakati Wa…
JINSI YA KUPENDEZESHA HIJAB
Mara nyingi watu hudhani kupendezesha hijab yako ni kuvaa mkufu na pete lakini husahau kua kuna namna nyingine ya kupamba hijab zao, kama unavaa hjab ya rangi moja au mavazi yasiyo na urembo mwingi haito umiza kama ukiongezea na urembo mwingine ili kupata muonekano mzuri…
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…